Falzkunta New Member Joined Oct 16, 2019 Posts 4 Reaction score 4 Jul 26, 2024 #1 Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,547 Reaction score 9,698 Jul 26, 2024 #2 Doa jessica ni nini?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,264 Reaction score 25,535 Jul 27, 2024 #3 Hiyo ndiyo safari ya kwenda kufa kwa kioo, jiandae kununua kipya au used.
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 833 Reaction score 1,053 Jul 27, 2024 #4 Yaani unampenda Jessica hadi unamwandika humu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,845 Jul 27, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw