Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba mnisaidie namna ya kupata H+ katika simu aina ya tecko j5 huwa inaandika 3G tu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The S-400 Triumf, a top-tier anti-aircraft weapon system produced in Russia is an impressive piece of equipment and is an evolution of the S-300 anti-ballistic missile defense system. The S-400 is...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalam wa magari,naomba kujua kati ya gari hizo ipi nzuri kwenye utumiaji wa mafuta,comfortability barabarani nk. Nazipenda zote ila nafikiria kununua moja wapo. Ushauri wenu utasababisha...
0 Reactions
60 Replies
17K Views
Wakuu naamini mko vizuri! Nijambo lakushangaza sana lakini hp wako juu sana ... Hp elitebook 8440 specs Intel Quad-Core Processor (models with discrete graphics only) : Intel Core...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sema kuna kitu kingine bado nina tatizo kidogo kwenye hizi simu zetu pendwa, hivi hizi simu mfano hii ya kwangu tecno c8 hivi hazinaga sens light ? Vile vitaa fulani ambavyo vinawaka utakuta muda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za saa hiz wana JF Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikijaribu kuweka earphone kwa smartphone nacikia sauti ya muungurumo flani na sauti ya mziki/radio haisikiki kabisa!!! Nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta hiyo switch. Nipo Arusha mjini.
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Habari wanaTEGAS rejea hapo juu Laptop yangu aina ya IBM nikiiwasha inaishia kuniandikia maneno haya TFGHT is compressed Press Ctrl+Alt+Del to restart nimefuata process hiyo mara nyingi sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu htc desire 816 imekufa betri mtu yeyote anauza au anafahamu wapi ntapata betri ya hii simu tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
947 Views
nisaidien website ambazo nitapata music.
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Habarini ndugu? Ninashida na Computer (Desktop machine) aina ya Dell, iwe SFF na sifa zifuatazo:- C2D/C2Q processor Speed 3.00 Ghz +++ 2GB RAM +++ 160GB HDD +++ DVD ROM Ijumuishe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu nina samsung gt laini moja haishiki 3G wala H+ yan inakamata H ni mitandao yote kidogo mtandao wa Halotel inakamta H but inakuwa na kasi kiasi, na niliiflash kama mara 2...
1 Reactions
3 Replies
889 Views
Ni desktop dell, intel core 2, 2gb ram 360hdd. Lakini nikitaka tuu kubrowse via mozila firefox au internet explore computer inakuwa slow sana kwa kuload na inastuck. Natumia modem ya halotel...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waheshimiwa,natumia Samsung Galaxy s5 Mwenye kufahamu namna ya kublock calls na messages kwa namba usizozihitaji,nifahamishe!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitumia vizuri saaana tatizo limejitokeza tuu..,Baada ya ya ku-update operating system mpaka sasa hivi haitachi. Msaada kwa anayejua wakuu..!! Nashukuru kwa uwepo wenu wakuu, ni hivi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa ufupi. Ninayo domain tayari iko pined na blogspot. nataka kuitengezea website kabisa. ni website ya habari na matukio ya kila siku.Lugha ni kiingereza na kiswahili. Nimetazama website...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ningependa kuuliza Tablet nzuri ni zipi nimeomba ushauri huu kwasababu niliwa nataka ninunue
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Je wewe unapenda pc games au mtu wa graphics au mtu wa editing basi njoo nikuuzie mashine ya kibabe Dell precision T7400 Xeon 2.33ghz(8cpu),ram 2 gb up to 64 gb,hdd 4T,graphics card nvidia Quadro...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ningependa wale mliopata hii version mpya ya marshmallow baada ya ku-upgrade mnipe mrejesho juu ya mambo makuu yafwatayo baada ya ku-uexpirience; 1. Battery life Je simu yako ktk trend ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Wadau naomba msaada decoder yangu inaonyesha tv guide na tbc1 tu nyingine zote not subscribed hali hii imeanza baada ya kuisha kombe la dunia. Tatizo ni nini? Natanguliza shukraan
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…