Maujanja ya Computer haya(Must read)-No 4: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maujanja ya Computer haya(Must read)-No 4:

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sizinga, Nov 13, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  LEO Jumapili hii siwezi kuwaacha hivihivi, yaani nikiangalia laptop yangu ya apple hii, vidole vinawasha.
  Niaje!! Tuendelee na maujanja namba 4 yanayofanya maisha ya techno uyaone rahisi kiaina. Tusipoteze muda, kwa wale wasiokuwepo before, kuna link kwa chini yale Maujanja namba 1,2 na 3. C'mon!!


  [​IMG]  1. Kupiga(call) (bure) toka kwenye computer kwenda kwa simu.

  [​IMG]

  Hii niliifanya sana wakati ule nasoma. Nilikuwa nafanya international call nyingi sana for free. Ukichotakiwa ni kuwa na new email tu na unapata dakika za bure zaidi ya 20 kutegemea na nchi gani unapiga. Kwahiyo nilikuwa kila siku nikitaka kupiga simu home nafungua email mpya. Hiyo ndiyo gharama yake. Nikawa na email zaidi ya 50.Hahaa!
  Sasa hii ilikuwa natumia kitu inaitwa Global 7. Baadae kukawa na gharama ingawa ni ndogo sana, nikaacha. So gonga hapa utaona mwenyewe. Global 7.

  Hii njia ya pili hembu jaribu uone(mi wala sijajaribu). Twende!
  -Hapa install Yahoo Messanger au Skype,weka ID yako na PASSWORD
  -Halafu configure hiyo microfone na headset yako
  -Sasa sehemu ya dial we andika hizi namba +18003733411, halafu piga enter
  -Hapo utasikia sauti ya operator ikikusabahi na matangazo. Badae hiyo sauti itakuuliza kupiga free call
  -Kwahiyo sikiliza mpaka mwishoni anaposema 'Free call'. Yaani "Free 411 service".
  -Ukisia hiyo sauti USIBONYEZE KITU CHOCHOTE KWENYE KEYBOARD YAKO. Please dont. Badala yake wewe sema kwa sauti kubwa "Free Call" kwenye mic yako uliyounganisha kwa computer.
  -Sasa hapo hiyo sauti itakuwa detected na system zao huko na badae utasikia matangazo ya hao free call sponsors na hapa narudia tena USIBONYEZE KITU CHOCHOTE KWENYE KEYBOARD.
  -Subiria mpaka usikie a Beep,Badae utasikia sauti hii “Please dial the phone number country code first, don’t forget to dial 1 for north America”...halafu kutatokea sauti ya Beep(kengele ngeeee).
  -Sasa baada ya kusikia hiyo message hapo ndipo uandike namba yako ya simu kwa keyboard ukianzia country code(+255... kwa tanzania).
  -Hapo simu yako itakuwa connected kwa zaidi ya dakika 7 bureeee!!
  -Ikikata rudia process zote na enjoy
  Kushnyeh!!


  2. Kufanya computer yako ijizime automatically.

  [​IMG]


  Hapa kwa wale watu walio busy na mambo mengine, au unadowload kitu labda inakuambia bado dk 15 download iishe, so huwezi kusubiria dk zote hizo ndo uzime computer, unaset tu labda izime baada ya dk 20, then unaondoka zako, dk hizo zikifika compyuta inazima yenyewe
  Kumbuka hapa huitaji software yoyote. Kivipi, twende!!
  -Right click katika desktop yako then chagua new shortcut
  -Katika lile box linalosema “Type the location of the shortcut” we andika “shutdown -s -t 3600”..usiweke quote.
  -Hapo 3600 ni sekunde=60 dakika= saa 1. Hizi value unaweza kubalisha ukaweka muda unaotaka
  -Unaweza tengeneza multiple shortcut kwa 30dk, 1hr, 2hr...nk. Kama box lipo empy basi andika interms of seconds(like 120sec ni dk 2..etc)
  -Andika jina kwa shortcut yako.

  NB
  . Unaweza kuchange hiyo icon yako kwa right click then =>properities=>change icon=>browse
  -Ukitaka ifanye kazi double click hiyo icon yako uliyotengeneza. Kushney.
  Ukitaka kuondoa hiyo huduma(cancel)...rudia hiyo process lakini sehemu ya kuandika andika hivi shutdown -a
  Kushney!!


  3. Kuongeza maspeed ya computer au RAM yako.

  Computer ikiwa slow au RAM ndogo na huwezi kuinstall game au kufanya mambo mengine, fuatana nami hapa.
  -Right click hiyo My Computer kwenye desktop
  - Properties
  - Advanced
  - Performance - Settings
  - Advanced
  - Virtual Memory - Change
  - Hapo initial value ziache kama zilivyo ila hapo kwenye maximum size we andika mara 2 ya initial value(double it).
  - Restart mashine yako. Your done!!
  Hapo ina-improve sana system yako na unaweza ukaplay zile game zinazohitaji RAM kubwa pia.
  Kushney.

  Link zote zilizopita gonga hapa

  Aag kwa leo tuishie hapo
  Jumapili njema!!


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  mkuu umenifurahisha umeweka APPLE Macintosh? kwenye nyuma ya Laptop yako? hiyo ndio mimi niapenda APPLE Macintosh ndio ugonjwa wangu , hahahahahahh Mzee wa Majanja huyoooooooooo Mwaga Vitu vyako nakupa hongera .
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Pamoja, ujue Mac bana ndo raha yake...ficha nembo weka tunda!!
   
 4. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  We mkaree!
   
 5. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mzee unatisha!
   
 6. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mia mia
   
 7. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Thanx sana mkuu i appreciate!
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  wapi utapata elimu kama hii zaidi ya hapa JF big up memba woote wa JF kuna vichwa humu!!
   
 9. l

  lizmundi Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekubali maujanja yako najifunza kupitia wewe asante.
   
 10. G

  Georeez Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda kuanzia leo i will be your favourite member b'coz am new in ITs field n now am studin BSC ICTM at Mzumbe n i wish 2know those stuff keep it up bradah............?????
   
 11. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  sizinga, kwangu nilitaka kuongeza ukubwa wa RAM nikakuta kwny max ishakuwa doubled. Je kuna njia nyengine?
   
 12. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 837
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 80
  thanx sana mkuu ka kutujanjarusha
   
 13. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  saluti mzeya umetisha
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok....njia nyingine ipo,RAM yako ina ukubwaa gani?
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Uko mwaka wa ngapi boy?
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Pamoko............................
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  :A S 465::juggle::photo::smash:
   
 18. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 997
  Trophy Points: 280
  haya maujanja yanafanya kazi kwenye windows 7 au ni xp tu?
   
 19. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi nikusave tu kama kawaida..
   
 20. jbjb

  jbjb Member

  #20
  Feb 28, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 72
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  K
   
Loading...