Wakuu naomba kusaidiwa,Wife ana Ipad ya apple,ameweza kupata Application ya kupakuwa miziki,lakini zaidi anapenda kupata Application ya kuweza kupakuwa "video" ktk Ipad yake.Je ni Application gani inatumika kwa kazi hii??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.