Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini. Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma...
7 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani; Kwa mfano '6XWE217 ' '6WTY54' Mimi ndiyo...
1 Reactions
9 Replies
504 Views
Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya...
10 Reactions
114 Replies
16K Views
Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
9 Reactions
6 Replies
554 Views
Kwa wale wanaomiliki google play console. Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore. Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Habari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi. Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo...
1 Reactions
8 Replies
738 Views
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nna swali kidogo. Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu. Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuuu habari zenu pc yangu aina ya hp haidisplay lkn kitufe cha kuwashiwa imewaka.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nini chanzo cha tatizo flat tv kudisplay mistari ya rangi ya horizontal! Nini kifanyike ili kuiondoa? Naomba ufafanuzi tafadhali!
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wakuu. Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#) JE NIFANYEJE?
1 Reactions
2 Replies
406 Views
Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Mimi ni full stack developer nataka nitengeneze mobile app ili niweze kupata hela baada ya mda mfupi Naombeni mawazo yenu
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea" Ndipo...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako. Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
  • Question Question
Msaada jinsi ya kufungua game kwenye Ps2 kutoka kwenye flash unabonyeza batani gani na gani???
2 Reactions
0 Replies
499 Views
Back
Top Bottom