Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natafuta mahali wanapo print DTG
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Kim Kyung-Ah Kampuni ya Samsung inayojihusisha kutengeneza vifaa mbalimbali vya kieletroniki, kwa mara ya kwanza toka kuanzishwa miaka 86 iliyopita Wamemuweka mkurugenzi mtendaji mwanamke kutoka...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Msaada wataalam... Kwanini nikiblock namba fulani ya Simu Ila nikija kutazama kwenye setting kipengele Cha block sms and block call Huwa naziona sms zote nilizochat na hiyo namba hata kama...
0 Reactions
3 Replies
537 Views
Sijawahi ona simu yoyote ya Google pixel au Aquos au brand nyingi za kimarekani au kijapani zikisoma 5G hapa bongo Kama kuna mtu anatumia simu tajwa hapo na inapanda hadi kuweka nembo ya 5G au...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu nimenunua pocket internet router ya universal,nimeweka simcard ya voda com.pale kwenye setting nimeweka hivi NAME:vodacom APN:internet USER:... PASSWORD. AUTH: None niki save bado internet...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo...
2 Reactions
6 Replies
645 Views
𝗛𝗨𝗔𝗪𝗘𝗜 𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗣𝗜𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 𝟮𝟬𝟮𝟰 Kampuni ya Huawei wametangaza kuachia simu zao mpya mbili aina ya 70 series na Mate X6 siku ya tarehe 26 novemba mwaka 2024. Hii ndo simu Bora kwa mwaka huu...
1 Reactions
4 Replies
579 Views
Wakuu mambo vipi nahitaji google play console mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu, Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
576 Views
utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech. Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza...
20 Reactions
96 Replies
7K Views
Wakuu kwema,naomba munikumbushe jina la ile App ambayo alipost mdau mmoja humu kuwa ukiiambia chochote inakujibu.
2 Reactions
8 Replies
688 Views
Hackers kiboko wameiba pesa nyingi balaa Benki kuu ya Uganda (BOU) inasema inasubiri ripoti ya uchunguzi toka kwa polisi nchini Uganda juu ya tukio la wizi wa Fedha zaidi ya dollar milioni $17...
2 Reactions
4 Replies
430 Views
Nitajie App babu kubwa ya kutunzia mahesabu Isiwe ya kulipia
1 Reactions
11 Replies
956 Views
Hello wakuu Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Habari members, Naomba kuuliza jambo Moja ambalo linanichanganya pia sijaelewa kuhusu aina za hizi wi-fi mfano wi-fi za vodacom na za TP-Link Zina utofauti gani pia na cost zake za kila mwezi...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗣 𝗜𝗠𝗘𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗧𝗨 Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India. Google...
2 Reactions
10 Replies
698 Views
Wakuu nashindwa kusajili IPHONE ID Kila nikitaka kumalizia inasema acc haiwez kutengenezwa muda huu Hapa shida nn
5 Reactions
13 Replies
769 Views
Habari iPhone 12 imeingia Maji camera Hazipo Sawa na Face ID haisomi Msaada
1 Reactions
3 Replies
466 Views
Back
Top Bottom