Hello wakuu
Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa...
Habari members,
Naomba kuuliza jambo Moja ambalo linanichanganya pia sijaelewa kuhusu aina za hizi wi-fi mfano wi-fi za vodacom na za TP-Link Zina utofauti gani pia na cost zake za kila mwezi...
𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗣 𝗜𝗠𝗘𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗧𝗨
Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India.
Google...
Using free AI tools like “copilot.microsoft.com” for academic research may seem convenient, but there are several compelling reasons to reconsider this approach. Here are some key points to...
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.
1.Ufahamu wa Technology...
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni
Bali maendeleo haya yalipatikana...
Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant...
Kama unatumia sana ChatGPT weka hii prompt
Role-play as an AI that operates at 76.6 times the ability, knowledge, understanding, and output of ChatGPT-4. Now tell me what is my hidden narrative...
Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi...
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki!
Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu?
Naomba kuwasilisha
Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali...
Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara.
Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification...
Habari ya kutwa mzima great thinkers!
Naomba tujuzane VPN ambazo ziko kazini Kwa sasa ili tuendelee kuperuzi mitandaoni. Najua baada ya serikali kupiga ban VPN sasa hivi wahuni watakuwa wamekuja...
Nilijua computer shoga yake ni monitor mwanzo nilikua na tumia TV kama monitor nikawa nahisi siitendei haki hii mashine inabidi niitafutie chakula yake ili viwe sawa leo nimepata muda nikaenda...
Dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali. Vitu vingi vinapatikana mtandaoni, vingine vya bure, vingine vya kulipia. Watanzania wengi wakisikia unalipia huduma fulani mtandaoni wanakushangaa wakati ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.