Msaada nitengeneze app ya aina li niweze kupata hela?

Nina Idea Fulani Ya App Pia Itafanya Kazi Kama Web Pia, Sina Uwezo Wa Programming Lakn Naamin Inaweza Kuwa Platform Kubwa Ikatatua Issue Za Kijamii Huku Tukipiga Pesa Nyingi.Nikipata Pesa Nitakutafuta Tuwekeze Kisha Tukagawana Faida
 
Hapo kwenye baada ya muda mfupi
App au project ya technology inahitaj muda wa kukua kabla ya kuingiza hela..
sasa ukisema unahitaj app ambayo itaingiza hela baada ya muda mfupi mmmmhhh..
au muda mfupi huo ni muda gani..
miezi 3, mwaka, miaka 5 au 10.
Nina app za mda mrefu .. naamni baadae zitakuja kuniingizia pesa ila nataka ambayo ita click ndani ya mda mfupi
 
Kwa bongo labda umbea..... Au app za kuwaunganisha waganga wa tunguli na wateja😀
 
Wakuu kwema?

Mimi ni full stack developer nataka nitengeneze mobile app ili niweze kupata hela baada ya mda mfupi

Naombeni mawazo yenu
Kutokana na maelezo yako nakushauri tengeneza App ya video za X ziwe kali viewers ni uhakika
 
Fanya app ya miamala. Itayofanya miamala yote. Ni unaweka hela tu unatuma popote. Utapiga hela kote
 
Wewe sio developer Nikuhakikishie bado ujaiva kabisaa..Sema unashida ya Pesa Ukaunga unga kusoma programming ukatengeneza App mbili tatu ambazo ni clone(Copy).Na sasa Ukajiona umekuwa Developer..

Things aint easy just like that Mzee.Naongea kama mtu mwenye experience.Wewe endelea kujisomea hakuna Developer dunia hii ambae hajui/Hana idea ya kudevelop kitu..Dogo unasafari ndefu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom