Flat screen TVs zikianza kuweka mistari au ukungu ukungu ujue zimefikia mwisho wa matumizi yake, gharama za ukarabati wake ni karibu sawa na kununua TV mpya. Jiandae kununua nyingine kwa hakika.
Mistari hyo inasababishwa na Tv kupata misukosuko mathalan kama unaiweka juu ya tv case inamaana kuna uwezekano umepiga kwa bahat mbaya ama watoto huwa wanaichezea! Hzi tv haziitaj kurupishan ndio maana wanashauri tuzifunge ukutan na sehem ambayo huwez kuigusa kwa bahat mbaya!
Kuhusu solution ya huo mstari! Hapo ukisema uipeleke kwa fundi watakula pesa yako bure cha msingi iweke sehem ya usalama ili mistar usiongezeke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.