Msaada kurudisha data zilipotea kwenye simu(android)

Msaada kurudisha data zilipotea kwenye simu(android)

gamaweshi belo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
453
Reaction score
173
kichwa cha habari kinajieleza wadau nilifanya factory data reset nikajikuta nimefuta vitu vyangu vya muhimu kama picha videos na mafaili mengine, tafadhali naomba mnisadie ni apps zipi nitumie kurudisha data zilizofutika bila kuroot simu yangu
 
ilibidi ufanye back up ya hivyo vitu separately....
 
Back
Top Bottom