Msaada kusave launcher kwenye tecno boom j7

Msaada kusave launcher kwenye tecno boom j7

Ghulaam

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
1,862
Reaction score
1,472
Habari zenu waungwana??
Nina tatizwa na hili simu yangu tecno boom j7 inagoma kusave launcher unasave inarun baada ya muda inarudi Kama awali
 
Fanya hivi activate 'ultra power mode' na baada ya hapo i-deactivate (ili simu irudi kawaida) baada ya kui-deactivate zitakuja option za launcher ulizodwonload select ile unayoitaka then click always therefore 'problem solved'
 
Ahsanteni wakuuu nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom