Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

ISS (international space station) Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe. Na kikubwa cha...
0 Reactions
1 Replies
502 Views
Habari wana jukwaa letu pendwa ! Naombeni ushauri wenu wataalam wa teknolojia hasa upande wa smartphone, kwa maono yangu Samsung S21 Ultra Used kwa kias hki naweza ipata. Ushauri wako ni muhim je...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari! Mwenye simu ya Azumi L4K natoa NCK Code bure. Hii ni zawadi ya December Mrejesho muhimu
2 Reactions
4 Replies
968 Views
Habari za asubuhi wadau, Naiman mko salama kabisa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,nimeamua kuuza hii kwa sababu ya ukata tu ila radio nzima. Hizi ni picha za hip radio...
0 Reactions
11 Replies
855 Views
Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
𝗝𝗮𝗽𝗮𝗻 𝗶𝗺𝗲𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗽𝗹𝗮𝘀𝘁𝗶𝗸𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼 𝘆𝗲𝘆𝘂𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗮𝗷𝗶 Timu ya Kimataifa inayohusika na masuala ya utafiti inayoongozwa na mjapani anaitwa Takuzo imeunda aina mpya ya plastiki ambayo ni ya...
1 Reactions
6 Replies
486 Views
Haya ndo matokeo.
2 Reactions
9 Replies
549 Views
https://www.youtube.com/live/808EX-G3zzQ
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle). Kibongo...
0 Reactions
5 Replies
732 Views
Jamani mwenye working idea ya kumake money online aishushe hapo chini. Sio uweke zile za ata tukisearch google tunaziona. I mean working ideas, like una specify niche au product au service...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya. Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
1 Reactions
4 Replies
641 Views
wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20. je hiyo ni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JR... Leo nimewasha laptop yangu ila baadhi ya vitufe(keys) vimegoma kutoa majibu kwenye screen.. Naombeni msaada ili niweze kurekebisha
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za asubuhi ,hope mmeamka salama kwa wale wanaokumbwa na changamoto za hapa na pale Mungu ni mwingi wa Rehema hakika atawaponya. Moja kwa moja kwenye mada ,ipo hivi kuna ndugu alinunua simu...
1 Reactions
10 Replies
975 Views
Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review...
7 Reactions
58 Replies
18K Views
Features of GbWhatsApp: GB Whatsapp APK 2021 is designed with the tons of features, and all those features you can use on a smartphone. Following are the features of GB Whatsapp Auto Reply...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗲𝘁𝘂 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗽𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗸𝗼 𝗰𝗵𝗼𝗼 𝘂𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼 Inawezekana kama ni jambo la kushangaza lakini ndo uwalisia!! Utafiti unaonyesha simu tunazozimiliki ni chafu kuliko hata kile kiti...
2 Reactions
6 Replies
388 Views
Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
4 Reactions
6 Replies
825 Views
Back
Top Bottom