Electromagnetism
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 482
- 126
Wakuu mwenye uzoefu wa hizi vitu anijuze mfano ni battery ya Gari 12V capacity 45A.H Mwanzo niliunga na solar now tanesco wameleta umeme nahitaji kuunda back up system na hizo battery iwe ina chajiwa na Umeme wa Tanesco je naweza kuicharge na 240V? Na je ntatumia kifaa gani ikishajaa iache kuingiza chaji kumbuka nina inverter ya convert dc to ac kutokea hapo kwenye battery sasa naungaje power itakayorudisha kuchaji hio battery tanesco wakiwepo