Haifutiki ng'o tena watu watakutexy kama kawa ktk timeline na in box isipoluwa ww tu ndo hutoziona mpk u activate upyanenda setting>privancy>diactivate>account
Ngoja nijaribu hii njiaingia kwenye Google andka parmanent deleting Facebook account baada ya hapo itakuambia uweke akaunt unayotaka kuifuta then utafuta maelekezo
Inawezekana mkuu,Husika na kichwa cha habari hapo juu...wandugu nataka kufuta fb account ....vp mwaweza nisaidia njia gani za kufuata ili kufuta...fb account ili mradi isionekane kweny ulimwengu wa facebook...............????????
Nielekeze na mimi mkuuNitafute nikuelekeze
Weee ima vipi?Nielekeze na mimi mkuu
[emoji23] nani mwenzangu?Weee ima vipi?