Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
24 Reactions
265 Replies
15K Views
1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Nadhani tactics ni kama nyenzo inategemea unataka kufanya nini na una nyenzo ya aina gani kwa kufanya nini kama ukikosa Kisu unaweza kutumia msumeno - lakini hauwezi kutumia Kisu ili kukata miti...
1 Reactions
4 Replies
931 Views
Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake. Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa. Tuendelee kumwombea...
4 Reactions
12 Replies
582 Views
Kuna mstari mwembamba unaotenganisha mchezaji anayejua kukaba na mchezaji anayejituma. Yanga husajili wachezaji wanaojua kucheza katika nafasi zao pia wanaojua kukaba yaani ikimsajili mchezaji...
3 Reactions
5 Replies
470 Views
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite...
2 Reactions
15 Replies
437 Views
  • Redirect
Huu Uzi no maalumu kwa mashabiki wa ile timu inayopiga soka la kitabuni na clabu kubwa Africa kwa sasa nayo niyanga sc tu na si wengineo hapa funs tuwe tuna update habari/taaifa,ratiba na...
0 Reactions
Replies
Views
Licha ya Manchester United kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya Coventry City inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika ya 90 zinakamilika matokeo...
3 Reactions
8 Replies
523 Views
1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede...
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Huu ni mpira, Hii ni soka, Hii ni Derby. Mbona hamjawahi kuwakamata wanaosema "timu yangu ikifungwa mnikate kichwa? Maneno makali, Maneno ya kukera, Ndio Utamu wa derby. PIA SOMA - Polisi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Huyu jamaa inawezekana akaja kuwa mbadala wa mayele, tumpe muda, magoli anayofunga si ya kwaida kabisa.
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na...
14 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali...
2 Reactions
2 Replies
146 Views
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na...
12 Reactions
16 Replies
786 Views
Huu utitiri wa mashindano hauna afya, mwakani Yanga na Simba (au azam) zitashiriki 1. Caf ligi ya mabingwa 2. African Super league 3. Ligi kuu bara 4. Ligi ya muungano 5. FA 6. Mapinduzi cup 7...
4 Reactions
5 Replies
360 Views
Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa...
0 Reactions
37 Replies
1K Views
umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
28 Reactions
807 Replies
53K Views
Mimi siupendi uongozi wa Mangungu hata kidogo, cmpendi pia Try Again wala Ceo Iman Kajula. In a nutshell, wameshindwa kuleta furaha Simba na hawastahili kuendelea kutuongoza kabisa kabisa...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom