Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Yanga msimu huu wa 2023/2024

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,526
2,864
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na ngumu sana kwasababu inaongozwa na kocha mwenye mbinu haswa na anayeweza kuwatumia wachezaji wake ipasavyo kuelekea kwenye mpango kazi wake

Yanga ndani ya msimu imecheza dhidi ya bingwa wa Misri na pia ni namba moja kwa ubira Africa (Al Ahly) na matokeo yaliisha kwa aggregate 1:0 faida kwa Al Ahly.

Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Algeria na namba 8 kwa ubora Africa (Belouizdad) ambapo kwasasa wanashika nafasi ya 10 na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 4:3 faida kwa Yanga

Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Afrika kusini na ni nsmba 4 kwa ubora Africa (Mamelodi) na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 0:0 yapo yalikuwa ni matokeo yenye utata sana kwenye soka la Africa

Yanga imecheza na timu namba 9 kwa ubora Africa ambayo kwasasa ni ya 5 kwa ubora Africa (Simba) na matokeo ya jumla yakawa 7:2 faida kwa Yanga.

Hivyo badala ya kuiponda Simba, angalieni uimara, na ubora walionao Yanga kwasasa
 
Timu sio mbovu. Imezidiwa tu na Yanga. Na ndio kinachowatesa mashabiki wa makolo.
Wangefurahi wazidiwe na timu nyingine kama vile Azam, Prisons na Mashujaa ilmradi tu Yanga isiwe bora zaidi ya Simba. Shida ndio iko hapo.
 
YANGA TO SIMBA: Oyaaa Tengenezeni timu yenu mbovu

Simba sasa : UBUNTU BOTHO

JamiiForums2101164442.jpg
 
Timu sio mbovu. Imezidiwa tu na Yanga. Na ndio kinachowatesa mashabiki wa makolo.
Wangefurahi wazidiwe na timu nyingine kama vile Azam, Prisons na Mashujaa ilmradi tu Yanga isiwe bora zaidi ya Simba. Shida ndio iko hapo.
Hata kipindi yanga anateseka kwa simba wapenzi wa yanga walitamani wazidiwe na timu zote ila sio simba
 
Hapa naona umetoa taswira ndogo kwenye picha kubwa.

Hakuna anaepinga kuwa Yanga Sc yupo kwenye ubora sana.

Ila ubovu wa Simba unapimwa na Simba yenyewe kuanzia kwenye style of play, score sheet, quality ya wa wachezaji e.t.c.

Ukiacha hata ile kimataifa, angalia Simba anapokutana na timu nyingine nje ya yanga, angalia idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa msimu huu(toa hizi 7-2 na Yanga), sidhani kama miaka ya hivi karibuni simba alishawahi kuwa goal difference ndogo kama msimu huu.

Simba ni mbovu bila hata ku-compare na timu nyingi iliyoizidi uwezo. Simba ni mfano wa Wydad na Kaizer Chiefs kwa Africa, au Manchester United ulaya. Hizi ni timu mbovu zenyewe bila hata kufananisha na timu nyingine.Unaangalia alikua anafanya nini misimu iliyopita, then msimu leo anafanya nini.
 
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na ngumu sana kwasababu inaongozwa na kocha mwenye mbinu haswa na anayeweza kuwatumia wachezaji wake ipasavyo kuelekea kwenye mpango kazi wake

Yanga ndani ya msimu imecheza dhidi ya bingwa wa Misri na pia ni namba moja kwa ubira Africa (Al Ahly) na matokeo yaliisha kwa aggregate 1:0 faida kwa Al Ahly.

Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Algeria na namba 8 kwa ubora Africa (Belouizdad) ambapo kwasasa wanashika nafasi ya 10 na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 4:3 faida kwa Yanga

Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Afrika kusini na ni nsmba 4 kwa ubora Africa (Mamelodi) na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 0:0 yapo yalikuwa ni matokeo yenye utata sana kwenye soka la Africa

Yanga imecheza na timu namba 9 kwa ubora Africa ambayo kwasasa ni ya 5 kwa ubora Africa (Simba) na matokeo ya jumla yakawa 7:2 faida kwa Yanga.

Hivyo badala ya kuiponda Simba, angalieni uimara, na ubora walionao Yanga kwasasa
Swali fikirishi kwa viwango vya FIFA yanga ikoje kwa ubora
 
Yanga timu ya kawaida sana ila viongozi wamejipanga kuifanya timu yaoo ifanye vizuri kuanzia njee ya kiwanjaa
 
Hapa naona umetoa taswira ndogo kwenye picha kubwa.

Hakuna anaepinga kuwa Yanga Sc yupo kwenye ubora sana.

Ila ubovu wa Simba unapimwa na Simba yenyewe kuanzia kwenye style of play, score sheet, quality ya wa wachezaji e.t.c.

Ukiacha hata ile kimataifa, angalia Simba anapokutana na timu nyingine nje ya yanga, angalia idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa msimu huu(toa hizi 7-2 na Yanga), sidhani kama miaka ya hivi karibuni simba alishawahi kuwa goal difference ndogo kama msimu huu.

Simba ni mbovu bila hata ku-compare na timu nyingi iliyoizidi uwezo. Simba ni mfano wa Wydad na Kaizer Chiefs kwa Africa, au Manchester United ulaya. Hizi ni timu mbovu zenyewe bila hata kufananisha na timu nyingine.Unaangalia alikua anafanya nini misimu iliyopita, then msimu leo anafanya nini.

Mkuu nakubaliana na wewe lakini kufanya vibaya kwa Simba kuna changiwa na mashabiki kisha viongozi ndio wanafuata kwa kutokuwa na msimamo.

Umezungumzia mambo matatu
1) style of play
2) score sheet
3) quality ya wachezaji

Kila kocha huwa falsafa yake, Hivyo kocha anapochukuliwa mkubaliane na aina ya mpira wake. Ila kwa Simba mashabiki ndio wakosoaji na wapiga kelele wa kushinikiza fulani aondoke. Viongozi nao wanakuwa kama waliokurupuka kwamba tulimchukua kocha X pasipo kujua falsafa yake.

Robertinho ni kocha ambaye kafukuzwa kutokana na kelele za mashabiki ila kimbinu, kitakwimu kamuacha mbali sana Benchikha. Robertinho alikuwa na unbeaten run nzuri sana kabla ya kukutana na Yanga, ni kocha ambaye alikuwa adondoshi sana point akikutana na timu za kati japo ataruhusu goli lakini atashinda mchezo. Mashabiki wa Simba wenyewe mlianza kumponda mara timu haichezi vizuri mara kauka nikuvaa kikosi chake. Maneno yalikuwa mengi ni kama alikuwa anatafutiwa sababu na alipopigwa tano na Yanga ikapatikana sababu.
Robertinho kafukuzwa sio kwasababu ana takwimu mbaya ila ni kutokana na style of play kama ulivyosema wewe huko juu je waliomsajili hawakujua falsafa ya kocha au wanaendeshwa na hisia za mashabiki?

Simba alivyokuwa Robertinho na Simba alivyokuwa Benchikha ni Simba mbili tofauti, Simba ya Robertinho walimaliza ligi wakiwa na goal difference 58 dhidi ya Yanga iliyosiwa ya Prof Nabi na kumzidi Yanga waliokuwa na GD 43. Huku upande wa point alizidiwa point tano pekee. Ila Benchikha kashindwa kufikisha hata 30 tu hadi sasa. Kuhusu kuondoka kwa Baleke na Phiri ni mashabiki hao hao walitaka kufanyike upgrade ya upande wa umaliziaji kwavile Baleke ameshindwa kufunga kwa muda mrefu. Wanaondoka mnawaona tena walikuwa na umuhimu, hata huyu Freddy ambaye pamoja na kufunga bado wana Simba wana muona garasa anaweza kupata kocha mzuri na mkakataa kama ndio yeye.
 
Couldn't agree more.

Natamani mashabiki wote wa Tanzania waisome hii, sio wa simba tu, bali hata wa Yanga.

Mashabiki wa Tanzania tunachangamoto zetu pia, ndio maana hufika wakati hata wale makocha au viongozi wasio na vifua hututukana au kutuita wala mihogo - Huu ni mfano tu wa kuonesha kuwa kuna changamoto pia kwa mashabiki.
 
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na ngumu sana kwasababu inaongozwa na kocha mwenye mbinu haswa na anayeweza kuwatumia wachezaji wake ipasavyo kuelekea kwenye mpango kazi wake

Yanga ndani ya msimu imecheza dhidi ya bingwa wa Misri na pia ni namba moja kwa ubira Africa (Al Ahly) na matokeo yaliisha kwa aggregate 1:0 faida kwa Al Ahly.

Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Algeria na namba 8 kwa ubora Africa (Belouizdad) ambapo kwasasa wanashika nafasi ya 10 na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 4:3 faida kwa Yanga

Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Afrika kusini na ni nsmba 4 kwa ubora Africa (Mamelodi) na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 0:0 yapo yalikuwa ni matokeo yenye utata sana kwenye soka la Africa

Yanga imecheza na timu namba 9 kwa ubora Africa ambayo kwasasa ni ya 5 kwa ubora Africa (Simba) na matokeo ya jumla yakawa 7:2 faida kwa Yanga.

Hivyo badala ya kuiponda Simba, angalieni uimara, na ubora walionao Yanga kwasasa
Comments reserved
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom