Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Homa ya Kariakoo Derby imekuwa kubwa, ukipita katika viunga mbalimbali vya Dar es Salaam, habari kuu ni mechi hii! Hii ni mechi ambayo ni kubwa katika nchi, Yanga wanaelekea katika mechi hii...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Na kinachonishangaza ni kwamba inanyesha tu maeneo baadhi na nimeambiwa baadae itanyesha Regency Hotel kisha Jangwani Bwawani na ikifika tu Saa 10 jioni itanyesha kwa muda pale kwa Mkapa Stadium...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Wachezaji wa Simba wote tumewafunga matofali miguuni. Kipa ndo mbaya zaidi amevalishwa miwani ya mbao. Mtaalamu katuambia hamna shida refa tu naye awe muelewa. Hili pambano tumejipanga nalo sana...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
First Eleven ya simba Vs Yanga hapo kesho November 2020. 1. Aishi Manula 2. Salum kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Pascal wawa. 5. Joash Onyango. 6. Jonas Mkude 7. Luis Misqueson 8 Muzamiru...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
Leo matokeo ni mawili tu.. 1. Simba kumfunga yanga 2. Yanga kufungwa na simba
3 Reactions
Replies
Views
Wasalaam Aambiwe kwamba 1. SIMBA SC is another level hapa VPL 2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba 3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi cha Simba umebadilika First captain: Bocco Second captain: Chama Third captain: Kapombe Ingawa haijathibitishwa na Uongozi...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Naam Hatimae November 7 iliyosubiriwa kwa muda mrefu Hatimae imewadia ni mechi kubwa inayobeba hisia za wapenda michezo wote nchini pamoja barani Africa kwa ujumla. 📍Ni mchezo wa nne unakutanisha...
1 Reactions
2 Replies
567 Views
Naaaam! Kuelekea patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, Jumamosi November 7 2020 kutavurumishwa mchezo wa watani wa Jadi katika soka la Tanzania kati ya Yanga SC dhidi ya...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
Wasalaam, Tupia lawama zako baada ya Kariakoo derby ya 7/11/2020. Mi naanza hivi: 1."Simba wanabebwa hatukubali" 2. Simba wamehonga marefa 3. Kipa kapewa rushwa 4. Wachezaji wetu hawajitumi🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
4 Reactions
7 Replies
822 Views
Miaka ya 1980-90 mwishoni Mpira nzuri na wakuvutia ulikuwa ukichezwa nchini Italia. Ligi ya Italia Serie A likuwa ndio Bora kabisa duniani. Wachezaji wote wazuri na Bora toka mataifa mengine ya...
3 Reactions
14 Replies
979 Views
Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa. Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi...
6 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari! Jana nimepata nafasi kumsikiliza kiongozi wao Mzee Zacharia Hanspope unaona kabisa hawa watani wetu wamekuwa kama mfa maji. Mfa maji hakosi kutapatapa sasa ndio wamefikia hatua hiyo. Na...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga...
17 Reactions
307 Replies
35K Views
Habari! Baada ya kukusanya point 7 kati ya 9 kanda ya ziwa. Mabingwa wa kihistoria Young Africans wamewasili Dar es Salaam kutokea Mwanza. Tayari kwa maandalizi kelekea mpambano wa derby ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna wakati nilishaa andika hapa ... Huyu bwana Mdogo Frankie De Jong anaenda kuwa machezaji wa kawaidaa sana pale Barcelona tena kuna wakati atakua hachezi kabisa!.na pengine wakauza bila...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mcheza Soka na mshindi wa Kombe la Dunia 1986 wa Argentina, Diego Maradona yupo chini ya uangalizi wa Madaktari kufuatia Oparesheni aliyofanyiwa ili kutibu tatizo la kuganda kwa Damu kwenye Ubongo...
3 Reactions
2 Replies
860 Views
Priiiiiiiiiii, Vurumai za ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumatano 04, Novemba 2020. Leo zitapigwa mechi tatu(3) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya hapo jana anaejiita bingwa wa...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom