Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum
Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie...
Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison?
Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili...
Wakuu herry ya Xmas...
Ishu ya Feitoto kutimkia zake Kwa matajiri wa chamazi imebuma. Azam wamekosea sehemu, kuvujisha taarifa za Feitoto kabla dili lao la usajili kukamilika, imewafanya Yanga...
Habari za muda huu wapendwa,
Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.
Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei...
Mimi si mtaalamu wa sheria kwa hiyo natumia mantiki ya kawaida tu.
Ni kweli mkataba wa Fei toto ulikuwa na kipengele kinachosema mchezaji akitaka kuvunja mkataba anatakiwa kulipa kiasi cha 100M...
Saikolojia
Nimetizama takribani Mechi Tano ( 5 ) za Simba SC na nilichokiona kwa 90% kinachoisibu ni Utulivu wa Kiakili ( Saikolojia ) ya Wachezaji.
Body Language ya Wachezaji wa Simba SC ukiwa...
Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu.
Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na...
Ni ukweli usiopingika kuwa Fei Toto amekuwa moja ya wachezaji muhimu sana Yanga. Na ni ukweli kuwa kijana amekuwa akiipambania Yanga kwa jasho na damu kwa kipindi chote alichokuwa anaichezea timu...
Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.
Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii...
Toka hadharani ufafanue suala la Feisal kuhamia Azam. Huku mtaani ni vurugu mechi tu. Mchezaji kuhama timu siyo dhambi lakini zinahitajika taarifa ambazo zinajitoaheleza
Nimelia sana baada ya kuhadithiwa namna TOTO alivyonyanyasika UTOPOLONI
1. Bonus wanapewa timu nzima baadae inatoka bonus ya wageni watupu[emoji24]
2. Aliwahi kuomba gari akaambiwa nyie na gari...
Huu ndiyo ukweli, bwana mdogo alitimiza Yale yote yaliyopo kwenye mkataba ikiwemo kuilipa kilabu yake kiasi Cha pesa ili aondoke Kama mchezaji huru. Sasa Yanga Kwa panic wameisusa hiyo pesa. Sasa...
Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea.
Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass...
Kuna mwandishi mmoja ameelezea suala la saga la Faisal hivi.....
Feisal Salum kama katekeleza kipengele cha kununua mkataba wake hilo halina shaka linawezekana duniani kote, lakini inasalia Azam...
Huu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.