Kariakoo Derby: Tabiri mechi itaishaje

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,739
45,188
Homa ya Kariakoo Derby imekuwa kubwa, ukipita katika viunga mbalimbali vya Dar es Salaam, habari kuu ni mechi hii!

Hii ni mechi ambayo ni kubwa katika nchi, Yanga wanaelekea katika mechi hii wakiwa na morali ya juu licha ya kutoa suluhu na Gwambina, huku Machampioni wa Nchi, Mnyama, lunyasi, Simba Sports wakiingia ktk mechi hii kama "underdogs"

Simba ina hatihati ya kumkosa playmaker mahiri Clatous Chama ambaye ni majeruhi lakini hii inaonekana kama "mind games" kutoka kwa kocha wa Simba! Niwaambie tu wana Yanga Chama yupo na atacheza mechi vizuri tu, kwahyo msizubaishwe na maneno ya kocha wa Simba.

All in all, Yanga ana nafasi kubwa ya kumfunga Simba japo mpira unadunda na matokeo ni dakika 90!

Utabiri wangu ni Yanga 2-2 Simba, tupia na wako.
 
MVUA IKINYESHA YANGA KAISHA
ELSE FT DRW
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom