Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.
Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa...
Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga...
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea...
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni...
Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa Yanga, hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini. Inawezekana hata hao 26...
Wala haihitaji akili nyingi kuona hili,timu inajituma uwanjani, unaona kabisa wana kiu na ushindi! Wachezaji kila mmoja kwa nafasi yake anatimiza majukumu yake.
Yanga sports club watachukua...
Naaam, natoa kongole kwa huyo mwana Simba lialia mzee wa propaganda wakuitwa GENTAMYCINE.
Nimepitia baadhi ya nyuzi zake zilikua ni kuichokonoa yanga na maneno ya kejeri kwa kweli Kama una hasira...
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama...
Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo....
1. Yanga SC...
Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana.
Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari...
Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi.
Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa...
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....
Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.
2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...
Baada ya kufanya vyema pale Coastal Union Abdul Sopu na Victor Akpan walikua "keki moto" kwenye dirisha la usajili wote wakiwaniwa na timu tatu kubwa Tanzania ila Simba ikafanikiwa kumpata Akpan...
Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga.
Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto...
Kwanza nawasalimu wakuu, nawatakieni pia heri ya christmas kwa wale walioweza kuiona, Mungu akitujaalia tuonane mwaka mpya kwa kishindo.
Baada ya salaam hizo hapo juu naomba nijikite kwenye mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.