Rosati
Senior Member
- Feb 9, 2013
- 104
- 69
Salamu kwenu wana Jf. Vijana wengi kwasasa tunafaa kujiajiri na kufanya kazi bila kubagua. Dhana hii isitumike kama kigezo cha kutokuomba au kutuma maombi ya kazi katika mashirika binafsi na/au serikalini.
Swali. Hivi wakati gani mzuri wa kutuma maombi ya ajira au kazi:
1. Punde tu tangazo linapotoka
2. Muda mfupi baadae, siku za katikati
3. Mwishoni kukaribia tarehe ya mwisho ya tangazo (deadline).
Swali. Hivi wakati gani mzuri wa kutuma maombi ya ajira au kazi:
1. Punde tu tangazo linapotoka
2. Muda mfupi baadae, siku za katikati
3. Mwishoni kukaribia tarehe ya mwisho ya tangazo (deadline).