Amedeus Somi
Member
- Aug 27, 2016
- 65
- 22
Hellow wadau poleni na majukumu ya kutafuta tonge..
Langu ni moja tu nimekuja nalo hapa mimi ni mtangazaji wa vipindi vya michezo ila nipo kwenye ngazi ya cheti na kutokanana na ugumu wa maisha nilionao siwezi/Sina uwezo wa kuendelea kusoma Diploma kwa sasa.
Nimemaliza Chuo mwaka 2018 nimetafta Kazi Apa bongo Nimekosa Kuna kituo tu nimejishikiza Intern now ni mwaka Yaan hawanipi ata 500 ya nauli hawana ata mpango wa kuajiri Kwani Waliopo Wanakacha kutokana na Hali ilivyo.
Sasa ninaomba msaada wenu kwa anayeweza kunisaidia nipo tayari kufanya hata ya Online..
Au nimekuja na wazo la kutafuta chance Rwanda Au Kenya Naskia ni nchi ambazo Zinathamini Vipaji Sana naomba Kuuliza Maisha ya Nairobi Au Kigali na Namna ya Kupata Kazi ya Utangazaji Ipoje?.
Naomba mwenye kujua Hizi Chimbo aliye serious Aje nina Shauku Sana na Maisha ya Hizi Places..
Au Ata Hapa Bongo Nikipata Nafasi Na Maelewano Mazuri Nipo Tayari Maana Mabosi Weengi wa Bongo Miyeyusho Sana.Walio Serious Wachache Sana..
Ahsanteni Nawapenda!