Utumishi hebu kuweni serious: kazi mmetangaza tangu mwezi wa 9 interview bado

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,526
3,647
Najua utumishi mpo humu mlitangaza nafasi za kazi za director of employment facitation and local content na manager of business development and faciliation za NATIONAL EECONOMIC EMPOWERNT COUNCIL tangu mwezi wa 9.

Lakini mpaka leo hii hamna feedback yoyote, kama mna watu wenu washaanza kazi mtuambie haiwezekani shortlisting ichukue miez 3.
 
.....Na wewe uliomba hizo nafasi?
Niliomba mkuu lakini jamaa wapo kimya. kama walishawapa watu na kuanza kazi bora kwenye application status watume tu kama tumekosa. sasa yanini kukaa kimya
 
Kuna nyingine zile za KADCO tangu mwezi wa tatu ukcheck kule kwenye status unakuta wameandika Application received na hakuna taarifa zozote yan jamaa wanayumba sana.
Noma sana mkuu hivi kwanini hawa jamaa wanafanya hivi. kweli alieshiba hamjui mwenye njaa
 
Kuna nyingine zile za KADCO tangu mwezi wa tatu ukcheck kule kwenye status unakuta wameandika Application received na hakuna taarifa zozote yan jamaa wanayumba sana.
Haaah izo za KADCO naona zilipotea hewani na korona maana baadae zikaja kutangazwa zingine za KADCO za maafisa ugavi na walifanya interview bila written ni oral tu na sasa wapo makizini
 
Haaah izo za KADCO naona zilipotea hewani na korona maana baadae zikaja kutangazwa zingine za KADCO za maafisa ugavi na walifanya interview bila written ni oral tu na sasa wapo makizini
Alafu zilikuwa nyingi pamoja na zile za MSCL bt jamaa hata maelezo hawazitolei
Capture%2B_2020-12-15-21-34-19.jpeg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom