Habari wakuu, natafuta kazi yeyote ile iliyo halila.
Elimu yangu, nimemaliza form 6 na niko chuo sasa(present). Imebidi nisimamishe masomo ili nitafute kazi ili nijikimu kwa ada na matumizi binafsi. Pia nna ujuzi wa COMPUTER!
HIVYO basi wa Mungu, yeyote atakaye huiwa tafadhali tuwasisiliane PM.