Ottician
Senior Member
- Jul 6, 2019
- 103
- 83
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Bachelor of Science in Animal science) natafuta fursa tajwa hapo juu ili kukuza uzoefu zaidi katika sekta ya mifugo,viwanda vya bidhaa zote za mifugo, Usimamizi wa miradi ya mifugo na bidhaa zake ndani na nje ya Nchi.
Niko tayari pia kwa ushauri,taarifa sahihi na Maelekezo ya ziada kulingana na maelezo hapo juu.ASANTE!
Niko tayari pia kwa ushauri,taarifa sahihi na Maelekezo ya ziada kulingana na maelezo hapo juu.ASANTE!