Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ahsante kwa kutoa taarifa ile, imetusaidia kwa kiasi fulani, Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kupe stahiki zetu. Mfano wapo waliokuwa wanadai malipo ya miezi...
0 Reactions
4 Replies
165 Views
Anonymous
Kuna changamoto iliyotokea kwenye LCOY Tanzania 2026 Dodoma, tukio lililowakutanisha zaidi ya vijana 150 kujadili masuala ya tabianchi na kuandaa Tamko la Vijana kuelekea COP31. Vijana waliambiwa...
4 Reactions
12 Replies
267 Views
Anonymous
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Global Aluminium Limited kilichopo Zogowale, Mlandizi, Kibaha, tunalalamikia unyanyasaji wa wafanyakazi, mikataba yenye utata, kufukuzwa kazi wakati wowote na kukosa...
0 Reactions
1 Replies
37 Views
Anonymous
Nilikuwa mfanyakazi wa TEKU (TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA) nilifanya kazi kuanzia 2020-2024, walikuwa wananilipa nusu mshahara na wakati mwingine hawakunilipa kabisa, hela ya NSSF hawakuwa...
8 Reactions
50 Replies
666 Views
Ukidharau wenzako wanachangamkia fursa Language trainers ni kampuni inayo toa mafunzo ya lugha mbalimbali duniani kote,kampuni hii inahitaji wafanyakazi watakao weza kufundisha lugha ya kiswahli...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu Mimi kijanana nipo mbeya namiaka 28 natafuta kazi nina uzoefu na kazi ya library ata kazi yeyote yakulipwa kwa mwezi au wiki mshahara tunaelewana muda wa kutoka uwe sa11 kamili jion...
2 Reactions
11 Replies
86 Views
Anonymous (9d66)
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mchakato wa ajira katika Taasisi ya Afya Muhimbili. Tulifanya usaili wa nafasi mbalimbali, lakini hadi sasa imepita miezi kadhaa bila kuitwa kazini, huku mwaka...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Anonymous
Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita. Viongozi wa hospitali hawajalipa...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Anonymous
Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa Ajira Portal, ambapo baada ya kupita mwaka mmoja, taarifa za mtu aliyefanya usaili na kufaulu huonekana kuwa zime-expire. Hali hii imekuwa changamoto kwa...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
Majina yangu kamili ni ERICK HURBERT SHAO elimu yangu form 4 hivyo najua kuhesabu kusoma na kuandika vizuri. Mimi ni Gateman, kazi yangu ni ya kuanzia saa 11 jion hadi saa 6 usiku ninapumzika...
5 Reactions
14 Replies
121 Views
Habari za majukumu wana-JamiiForums, Mimi ni kijana niliyepo mkoani Njombe, natafuta nafasi ya kazi ya Udereva. Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania nafasi ikipatikana. Sifa...
2 Reactions
2 Replies
89 Views
Heshima kwenu wana-JamiiForums, Mimi ni kijana mtulivu, mwaminifu na mwenye juhudi za kazi, natafuta fursa ya kazi katika sekta ya usafirishaji au ufundi. Niko tayari kufanya kazi mahali popote...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Nina interest ya kujua mshahara Mwalimu Dakitari Muuguzi Mfamasia Mhandisi ngazi ya halimashauri Mwanasheria Mhasibu N.k
7 Reactions
292 Replies
127K Views
Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology Hiyo siyo case...
7 Reactions
29 Replies
416 Views
Ni Siku ya nne sasa, mawazo yamejaa kichwani, usingizi hauji, kichwa kinauma. Nakaa hadi saa nane bila usingizi.. mawazo sana. Wanasema, kuna umri ukishafika, kauli ya "I am from a poor...
11 Reactions
24 Replies
435 Views
Anonymous
Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu. Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili...
1 Reactions
1 Replies
75 Views
Kwa heshima na kwa kuzingatia umuhimu wa taasisi hizi katika maendeleo ya viwanda, teknolojia na ubunifu nchini, naomba kuwasilisha hoja hii kwa Serikali kuhusu mpango wa kuunganisha TEMDO...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Anonymous (3d76)
Sisi ni Walimu tumesoma BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION. Yaani mwl IIIC Shule ya Msingi, tunaomba Serikali itukumbuke jamani. Wanaajiriwa watu waliosoma BACHELOR NA DIPLOMA OF...
2 Reactions
8 Replies
347 Views
Wakuu, Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha...
3 Reactions
21 Replies
441 Views
Anonymous
Mimi ni miongoni mwa waliokua watumishi wa makataba katika Hospital ya Wilaya Ubungo UDH. Kabla sijasitisha mkataba tulikua tunadai fedha za Overtime tangu October 2025 mpaka June 2026. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…