Fundisha lugha ya kiswahili online $15 per hour

Joined
Jun 18, 2019
Posts
22
Reaction score
34
Ukidharau wenzako wanachangamkia fursa

Language trainers ni kampuni inayo toa mafunzo ya lugha mbalimbali duniani kote,kampuni hii inahitaji wafanyakazi watakao weza kufundisha lugha ya kiswahli na sio somo la kiswahili ni lugha naomba tuelewane kwaWateja wao,na kazi hizi watazifanya wakiwa aidha ofisini,nyumbani au mtandaoni wateja wetu wanacho paswa ni kutuambia ni lugha gani wanataka wafundishwe nasi tutakuchagua wewe kama unajua lugha hiyo na utamfundisha kazi hii hai hitaji elimu kubwa kama wewe unajua lugha ya Kiswahili kwa nini usichangamkie fursa hii!!

MUAJIRIWA AWE NA SIFA ZIFUATAZO

1,Awe anajua Kiswahili fasaa au awe na degree katika kufundisha au cheti cha kuthibitisha kwamba anajua Kiswahili ( chochote kimoja wapo)

Hata kama hana cheti na unajua kiswahili

2,awe na uzoefu wa kufundisha online

3,awe Tayari muda waote kufundisha kutokana na ratiba atakayo pangiwa

4,awe na kompyuta yake mwenyewe nyumbani

5.awe tayari kukubali mshahara wa 30,000 kwa saa 1

TAFADHALI

Usitume maombi kama huja kidhi vigezo

Jinsi ya kutuma maombi bofya link yenye maandishi ya blue kutuma maombi==>https://nafasizakazileo.blogspot.com/?m=1
 
Mleta mada peleka hii fursa kwa classmates wako,ndugu zako,wazazi wako,majirani zako,wakwe zako,watu mnaoabudu nao,wale jamaa wa pale stendi jirani na kwenu wote wakaribishe kwenye hiyo kazi ya 30k kwa kila saa, sisi wengine huku Koromije hiyo 30k ni mshahara wa mwezi yaani siku 30.Tutachanganyikiwa tukipata pesa nyingi na kuleta dharau kwa wengine kama ilivyotokea kwa homeboy wetu Bashite!!
 
Utajuaje ka,a na kiswahili fasaha kama hujaomba japo kz moja ya mfano
Ukidharau wenzako wanachangamkia fursa

Language trainers ni kampuni inayo toa mafunzo ya lugha mbalimbali duniani kote,kampuni hii inahitaji wafanyakazi watakao weza kufundisha lugha ya kiswahli na sio somo la kiswahili ni lugha naomba tuelewane kwaWateja wao,na kazi hizi watazifanya wakiwa aidha ofisini,nyumbani au mtandaoni wateja wetu wanacho paswa ni kutuambia ni lugha gani wanataka wafundishwe nasi tutakuchagua wewe kama unajua lugha hiyo na utamfundisha kazi hii hai hitaji elimu kubwa kama wewe unajua lugha ya Kiswahili kwa nini usichangamkie fursa hii!!

MUAJIRIWA AWE NA SIFA ZIFUATAZO

1,Awe anajua Kiswahili fasaa au awe na degree katika kufundisha au cheti cha kuthibitisha kwamba anajua Kiswahili ( chochote kimoja wapo)

Hata kama hana cheti na unajua kiswahili

2,awe na uzoefu wa kufundisha online

3,awe Tayari muda waote kufundisha kutokana na ratiba atakayo pangiwa

4,awe na kompyuta yake mwenyewe nyumbani

5.awe tayari kukubali mshahara wa 30,000 kwa saa 1

TAFADHALI

Usitume maombi kama huja kidhi vigezo

Jinsi ya kutuma maombi bofya link yenye maandishi ya blue kutuma maombi==>https://nafasizakazileo.blogspot.com/?m=1
 
Mi taangu asubuhi nimeshapata Sh. 270,000 tayari😀
 
Waziri mkuu kwa saa halipwi hiyo pesa, alafu watanzania hatuna utamaduni wa kuitana kwenye pesa

Tuwe na siku njema[emoji120] [emoji120]
Daaah. Ukiona mtu anakuitia pesa mh. may be...
 
Ukidharau wenzako wanachangamkia fursa

Language trainers ni kampuni inayo toa mafunzo ya lugha mbalimbali duniani kote,kampuni hii inahitaji wafanyakazi watakao weza kufundisha lugha ya kiswahli na sio somo la kiswahili ni lugha naomba tuelewane kwaWateja wao,na kazi hizi watazifanya wakiwa aidha ofisini,nyumbani au mtandaoni wateja wetu wanacho paswa ni kutuambia ni lugha gani wanataka wafundishwe nasi tutakuchagua wewe kama unajua lugha hiyo na utamfundisha kazi hii hai hitaji elimu kubwa kama wewe unajua lugha ya Kiswahili kwa nini usichangamkie fursa hii!!

MUAJIRIWA AWE NA SIFA ZIFUATAZO

1,Awe anajua Kiswahili fasaa au awe na degree katika kufundisha au cheti cha kuthibitisha kwamba anajua Kiswahili ( chochote kimoja wapo)

Hata kama hana cheti na unajua kiswahili

2,awe na uzoefu wa kufundisha online

3,awe Tayari muda waote kufundisha kutokana na ratiba atakayo pangiwa

4,awe na kompyuta yake mwenyewe nyumbani

5.awe tayari kukubali mshahara wa 30,000 kwa saa 1

TAFADHALI

Usitume maombi kama huja kidhi vigezo

Jinsi ya kutuma maombi bofya link yenye maandishi ya blue kutuma maombi==>https://nafasizakazileo.blogspot.com/?m=1
Mmmmmmh 30k per hour hahajahs😁😁thn awe tayar kukubal huo mshahara
 
Aya nionganishe naweza fundisha kiswahili kutumia kichina
 
Back
Top Bottom