Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma: Tangazo la kuitwa kwenye Usaili tarehe 2 – 7 Desember 2017

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Taasisi za Umma MbalimbalI Serikalini, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2-7 DESEMBA, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Kujua majina ya walioitwa kwenye Usaili, bofya HAPA
 

Attachments

  • Kuitwa kwenye Usaili 2-7 desember 2017.pdf
    2 MB · Views: 774
Halafu nataka kuuliza zile nafai za mtuwasa kwani wameita watu kwenye intavuu na air Tanzania je
Wacha kupoteza Muda wewe.
 
Back
Top Bottom