Kati ya Diploma ya Pharmacy na Medical Laboratory ipi ina ajira za chap?

devinyo1987

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
269
367
Wakuu wana jf habarin,

Naomba kuuliza kati ya diploma ya maabara Yan medical laboratory na diploma pharmacy ipi unaweza kuajiriwa haraka serikalini?
 
Wakuu wana jf habarin ...naomba kuuliza kati ya diploma ya maabara Yan medical laboratory na diploma pharmacy ipi unaweza kuajiriwa haraka serikalini....???
Ajira serikalini?
Dah...
Haya ngoja tusubiri mwajiri aje akujibu
 
Ajira ni bahati aise!.

Soma kipaumbele chako kisiwe kuajiriwa maana utajikuta unapitia maumivu makali.
 
Zote ziko vizuri Sana na zote ni rahisi kujiajili plus ajira zinatoka Mara kwa Mara kote

Changamoto kujiajili kwa Pharmacy mtaji mkubwa labda ufungue DLDM Ila lab hazihitaj mtaj mkubwa Sana Kama Pharmacy

Mimi nimesoma Pharmacy, currently ni mfamasia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom