Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma, imetangaza nafasi za kazi katika wilaya za Igunga, Kasulu na Musoma

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,309
2,000

Bakariforever

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
409
500
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakurugenzi
Watendaji wa Halmshauri za Wilaya ya Igunga, Kasulu na Halmashauri ya
Manispaa ya Musoma, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye
sifa na uwezo wa kujaza nafasi tatu (03) kama ilivyoainishwa hapa chini. View attachment 1665427
Daaah kuanzia mwaka 2015 nilikuwa natuma maombi yanapokelewa na mengine kuitwa kwenye usaili hadi 2018.

Nimeingia kwenye mfumo leo nime updates namba ya nida na maelezo mengine kisha nikatuma kama tangazo linavyotaka sifa zake mfumo unaniambia umekosea kwenye qualifications haufuzi.

Nimerudia kusoma sifa kwenye tangazo ni vile vile awe amesoma kwa miaka miwili fani ya Community Development or Sociology .

Nimejaribu mara 6 wapi nikajiuliza sijui idadi ya watu wangapi nao wanakosa kutuma na kusailiwa kwa kuwa tu wameshindwa kwenye mfumo 😭😭😭
 
mtwa kinte

Senior Member
Sep 2, 2015
136
250

Jaribu kufuta academic qualifications zako na uzijaze tena. Itakubali
 
masafi

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
515
500
Daaah kuanzia mwaka 2015 nilikuwa natuma maombi yanapokelewa na mengine kuitwa kwenye usaili hadi 2018.
Nimeingia kwenye mfumo leo nime updates namba ya nida na maelezo mengine kisha nikatuma kama tangazo linavyotaka sifa zake mfumo unaniambia umekosea kwenye qualifications haufuzi.
Nimerudia kusoma sifa kwenye tangazo ni vile vile awe amesoma kwa miaka miwili fani ya Community Development or Sociology .
Nimejaribu mara 6 wapi nikajiuliza sijui idadi ya watu wangapi nao wanakosa kutuma na kusailiwa kwa kuwa tu wameshindwa kwenye mfumo
Siku hizi inasumbua sana kwenye sifa unaambiwa huna wakati unazo
 
Goguryeo

JF-Expert Member
May 17, 2019
545
1,000
Daaah kuanzia mwaka 2015 nilikuwa natuma maombi yanapokelewa na mengine kuitwa kwenye usaili hadi 2018.
Nimeingia kwenye mfumo leo nime updates namba ya nida na maelezo mengine kisha nikatuma kama tangazo linavyotaka sifa zake mfumo unaniambia umekosea kwenye qualifications haufuzi.
Nimerudia kusoma sifa kwenye tangazo ni vile vile awe amesoma kwa miaka miwili fani ya Community Development or Sociology .
Nimejaribu mara 6 wapi nikajiuliza sijui idadi ya watu wangapi nao wanakosa kutuma na kusailiwa kwa kuwa tu wameshindwa kwenye mfumo 😭😭😭
duh pole sana mkuu...

niliwahi kutuma maombi sikuchaguliwa kwenda kwenye written interview ....nikaambiwa sababu (reason for not selected) kwamba sijaambatanisha barua (application letter wasn't attached)...

saivi nikiingia kwenye profile yangu nikiangalia kwenye ile (my applications) ....nakikliki "view my application" ....
naiona barua pale.

ni changamoto.
 
nyakoree

Member
Apr 7, 2020
25
45

Hii hata siielewi hivi pale kwenye verified certificate unaweka vyeti vip?

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,039
2,000
Kwani kazi za Halmashauri siku hizi zinatangazwa na Utumishi?
Serikali ime centralize recruitment zote kuwa chini ya tume hiyo. Wao wanafanya badala ya taasisi, taasisi husika inampokea na kumwajiri muhusika baada ya process kufanywa na tume hiyo.
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,182
2,000
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakurugenzi
Watendaji wa Halmshauri za Wilaya ya Igunga, Kasulu na Halmashauri ya
Manispaa ya Musoma, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye
sifa na uwezo wa kujaza nafasi tatu (03) kama ilivyoainishwa hapa chini. View attachment 1665427
Mkuu nashindwa kukutumia ujumbe PM
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,182
2,000
duh pole sana mkuu...

niliwahi kutuma maombi sikuchaguliwa kwenda kwenye written interview ....nikaambiwa sababu (reason for not selected) kwamba sijaambatanisha barua (application letter wasn't attached)...

saivi nikiingia kwenye profile yangu nikiangalia kwenye ile (my applications) ....nakikliki "view my application" ....
naiona barua pale.

ni changamoto.
Mkuu, application letter inawekwa wap.?

Halafu tofauti ya application letter na recommendation letter ni nini.?
 
Bakariforever

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
409
500
Mkuu, application letter inawekwa wap.?

Halafu tofauti ya application letter na recommendation letter ni nini.?
Recommendation letter ni vyeti vya ziada unaviweka kama certificate of service, vyeti vingine vya mafunzo uliyopitia ya muda mfupi etc.
Application letter hata mimi nimeshindwa kuelewa inapowekwa ngoja waje wadau
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,182
2,000
Recommendation letter ni vyeti vya ziada unaviweka kama certificate of service, vyeti vingine vya mafunzo uliyopitia ya muda mfupi etc.
Application letter hata mimi nimeshindwa kuelewa inapowekwa ngoja waje wadau
Nmeambiwa application letter unaweka kule unapo apply hy kazi

Kwahy recommendation letter naweza nisiweke.?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom