Ushawahi kuambiwa hivi na Interviewer?

Ushawahi kuambiwa hivi na Interviewer?

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
470
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.

Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?

Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.
 
Nakumbuka nilifanya interview ya kwanza nikaambiwa I will call u very soon🥺wiki ikaisha kimuhe muhe 😀😀kweli Wakaja kunipigia baada ya wiki mbili nikafanya tena interview ya pili wakaniambia watanipigia🙆‍♀️🙆‍♀️ muhe muhe kikaanza upya.wiki ya tatu sasa na tamaa nimeshakata na kukonda nimeshakonda😀😀napigiwa tena simu ya kufanya interview ya tatu na watu lukuki Jehovah..wahi uvumilivu wa kuendelea kusubiri hiyo veri suni yao ukanishinda wallah.

Ule wakati ulipo fika wa kuuliza maswali ilinibidi niulize ni lini nitapata majibu baada ya hii interview maana nilichoka kuishi kwa mashaka na presha.

Kuna kampuni nyingine ni waaaminifu.kama umekosa wanakutumia mail kuwa hujafanikiwa na hizi kampuni ni chache sana zenye huu uaminifu.watu hawafanani.

So Chief endelea kuwa subiri huku ukifanya mambo yako mengine ya msingi🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Asante sana kaka.....hizi ajira changamoto sana 😂😂😂
 
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.

Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?

Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.
means hukupata kazi hapo
 
Hio ni sawa na mtu kukwambia nitakujulisha 😅!
Lini, saa ngapi hilo ni juu yake na hupaswi kuhoji sana bali kuendelea na ratiba zako kama kawaida tu!
 
Back
Top Bottom