Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma; Tangazo la kuitwa kazini kwa walioomba MUHAS na ATC

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) waliofanya usaili tarehe 3, 7 na 8 Novemba, 2017 kuwa matokeo ya usaili yamekwishaidhinishwa na waombaji kazi waliofaulu usaili huo na kupendekezwa kutumwa kwa Mwajiri ni kama yalivyoorodheshwa katika Tangazo hili

Kwa wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa

Kwa orodha kamili ya walioitwa kazini, Bofya HAPA
 

Attachments

  • Tangazo la kuitwa kazini - MUHAS na ATC.pdf
    160.2 KB · Views: 516
Endeleeni kupeana mashavu hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom