Salam..
Wale tuliochaguliwa kwenda kwa usaili wa nafasi za TRA dodoma tupeane updates.
Kama unapossible tushtuane.
Tukifika Dom pia tuambiane bata zinakuwa wapi.
Dom inaenda kujazwa kwa muda...
The Jane Goodall Institute (JGI) is a global community conservation organization that advances the vision and work of Dr. Jane Goodall by conserving chimpanzees and inspiring communities to...
Human Resource and Communication Manager
HelpAge International wishes to recruit a Human Resource and Communication Manager (HRCM) that will be based in Dar Es Salaam with key relationships...
Zanzibar University invites job applications from suitably qualified and competent Tanzanians to fill the following posts:
PLANNING OFFICER (1 Post)
Qualifications
An applicant must possess at...
Duty Station: Dar es Salaam, Tanzania
Reporting to: Programme Coordinator
Type of contract: Initial contract for one year with three months probation period with a possibility of extension...
St. Constantine International School (SCIS) is a non-denominational, co-educational, day and boarding, international school. We are a Cambridge International School. We follow the English...
Mimi ni kijana wa miaka 22, naishi Dar es Salaam maeneo ya kwa Azizi Ally. Nimeamua kutumia muda wangu kusaidia watu kazi mbalimbali; hii ni kutokana na wengi kubanwa na majukumu ya kila siku...
Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama...
Habari wandugu
Nina mdogo wangu aliitwa kwenye usaili/ interview ya TRA jana pale Dodoma ila hakubahatika kufanya pepa kisa alienda na copy ya kitambulisho cha NIDA badala ya Original ID.
Hiyo...
Habari wakuu.
Kijana wenu hapa nina shida ya gari ya mkataba au hesabu .nina uzoefu na Uber na Bolt. Pia, kama kuna mtu anajua makampuni yanayo toa magari kwa mikopo tafadhali sana naomba...
Hello I'm look for a job and specialized in AUTOELECTRICAL and DIAGNOSIS machine technician and for I'm based on tour guide cars for volunteers(land cruise and land rover)but for other job for any...
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.
Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu...
Habari wakuu,
Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
Habari wanajf,
Nahitaji mtaalamu mwenye uelewa na uwezo wa kuandika business proposal kwenda Kwenye kampuni au taasisi binafsi au serikali, Anicheki kuna kazi tufanye kwa makubaliano.
Kwa...
Habar wakuu, kama title yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji ubungo-dar es salam mwaka 2019. Nilikuwa natafuta...
Habar, Ninaishi Mwanza pia Niko teyari Kufanya Kazi maeneo yeyote Yale. Nina shahada ya Uhasibu katika chuo cha Usimamizi Wa Fedha(IFM), Nina uzoefu wa miaka 2(mwili)) katika fani hii ya Uhasibu...
Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimerudi tena kwenu kwani mwezi may tar24 nilipost hitajio langu kuomba msaada kwa yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.