Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi?
Suala la...
Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) Imezuia kukamilisha taratibu za ajira za Askari wake 12 waliomaliza kozi ya mafunzo ya jeshi la uhifadhi kwa muda wa miezi 6 (KOZI INTAKE...
Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la...
Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair...
Habar wakuu,
Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa...
Wahusika katika secretariat ya Ajira Tanzania kitengo cha Huduma kwa Wateja Kuna. changamoto ya kimawasiliano hawatoi Huduma kabisa vijana tuna pata changamoto kwenye mfumo wa ajira lakini ukipiga...
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November...
Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni...
Wakuu naomba msaada kidogo.
Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali:
👉 Hizi writing samples ni nini hasa?
👉 Natakiwa...
Kwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani.
Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa.
Je, kuna ukweli katika...
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali.
Umri wangu ni Miaka 32
Ni mkazi wa Dar es Salaam
Nina...
Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025.
Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo...
Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi.
Mwaka jana baada...
Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii imekuwa chanzo kikuu cha taarifa za afya na lishe. Watu wengi wanategemea video fupi, machapisho, na ushauri wa watu maarufu ili kuamua wanachopaswa kula...
Majaribu ndio hayo wakuu,
Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo.
alipoingia...
Je, wewe ni mtu mwenye ujasiri wa kuzungumza na wateja, huporomoshwi na kukataliwa, na unatamani kipato kikubwa kutokana na juhudi zako?
Kama jibu ni ndiyo, basi nafasi hii inaweza kuwa ya kwako...
Usaili unaofanyika kwa ajili ya kuomba ajira hauna kiwango na sio halali.
Sababu kuu ni:
Maswali yanayotolewa hayana uhalisia wa kile nilichosoma.
Mfano: Umesoma Veterinary unalatewa maswali ya...
Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika.
Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.