Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu habarin za muda huu Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine...
2 Reactions
9 Replies
557 Views
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi. Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za...
9 Reactions
173 Replies
28K Views
Anonymous (b60c)
Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia...
4 Reactions
10 Replies
453 Views
Habari za wakati huu 👋 Mimi ni mtaalamu wa masuala ya kihasibu (Accounting) ninayetoa huduma mbalimbali kwa wafanyabiashara, makampuni na hata individuals. 🔹 Huduma ninazotoa: ✔️ Kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Anonymous
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Mbeya Mjini hatujalipwa pesa yetu tangu Mwaka 2025, waliokuja wapya wa mwaka huu pia hawajalipwa wakati Halmashauri za pembeni wamelipwa muda tu. Soma Pia:
0 Reactions
1 Replies
111 Views
Anonymous
Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Anonymous
Malalamiko kuhusu hali ya ajira katika kiwanda cha Jambo kilichopo Shinyanga yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara, hasa kutoka kwa wafanyakazi wazawa. Inadaiwa kuwa kuna hali ya upendeleo katika...
0 Reactions
5 Replies
264 Views
Anonymous (b60c)
Somo: Ombi la Mapitio ya Mfumo wa Ajira kwa Wahitimu wa National College of Tourism Mheshimiwa, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha waraka huu kwa lengo la kuangazia changamoto ya ajira...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Anonymous (8b17)
Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa. Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Anonymous (8b17)
Habari, Mimi ni mtumishi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) kuna kero ambayo kimsingi imekuwa tatizo kubwa sana hasa kwa watumishi na uongozi wao! Kumekuwa na malimbikizo ya madai kwa zaidi ya...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
🚨 TANGAZO LA KAZI – SALES PERSON (2 POSTS) 🚨 Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo: ✅ Awe na Degree au Diploma ✅ Awe smart na mwenye...
2 Reactions
2 Replies
292 Views
Aisee kuna ukweli wowote unaousisha kuajiriwa na matumizi ya ushirikina. Je kuna Mtu ameshapata ajira au kupata Cheo au kulinda ajira yake Kwa matumizi ya ndagu. Tuturirike Hapa wanajamii
0 Reactions
4 Replies
6K Views
  • Redirect
Anonymous (a9f4)
Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA Kwa vyeo vya chini tuna hari ngumu saana tunaomba Jamii forums mtusaidie kupaza sauti kwenye platform zenu zote ili kero hii iweze...
0 Reactions
Replies
Views
Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za...
3 Reactions
15 Replies
556 Views
PROGRAMME OFFICER – ENVIRONMENTAL EXPERT Organization: African Transformation on Environmental and Health Action (ATEHA). Location: Arusha, Tanzania. Application Deadline: 5th April 2026...
1 Reactions
0 Replies
224 Views
Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi. Mi yangu ni hayo tu
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Anonymous (5348)
Mimi ni mfanyakazi katika Kiwanda cha Mafuta Dodoma Veyula, kinaitwa Mainland Group ni cha Wachina, changamoto hapa ni hao jamaa wanawanyanyasa wafanyakazi na kuwatolea lugha ya kukera. Pia...
1 Reactions
7 Replies
218 Views
Habarini, Samahani naomba mnisaidie maswali ya interview ya hiyo position. both written na oral asanteni.
0 Reactions
2 Replies
155 Views
Habari nahitaji Mfamasia Ngazi ya Degree! Aliye tayari tuwasiliane: Contact: 0672473087
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Anonymous
Jamii ambayo ina migogoro na waajiri wao Mkoani Katavi inashindwa kupata haki zao kwa wakati kwani Ofisi za Idara ya KAZI (CMA) haina msuluhishi wa migogoro hiyo katika mkoa husika. Kinachotokea...
0 Reactions
1 Replies
152 Views
Back
Top Bottom