Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous (9713)
Wakati Serikali ikiendelea kutekeleza mipango mbalimbali ya kuwakopesha vijana ili kuwawezesha kujiajiri, bado kuna kundi kubwa la vijana waliowahi kufanya kazi katika sekta binafsi ambao...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Anonymous
Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote...
0 Reactions
5 Replies
214 Views
Anonymous
Walimu Ajira Mpya ya Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara tumelipwa shilingi laki 4 kwa ajili ya Pesa za Kujikimu badala ya laki 9 na elfu kumi. Tukilalamika...
0 Reactions
7 Replies
152 Views
Anonymous
Pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya kyerwa ajira mpya hatujapewa bado, na uongozi ulituambia pesa zipo tangu February/March 2026 tunaomba uongozi utupe mrejesho nini kinaendelea. Soma Pia...
2 Reactions
3 Replies
201 Views
Anonymous
Kiukweli nimesikitika sana UDSM kuficha matokeo ya wrriten interview iliyofanyika tarehe 02/05/2026 pale yombo 4 mapaka sasa matokeo hayajawekwa kwenye website rasmi ya Secretariat ya ajira huku...
0 Reactions
2 Replies
159 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Tabora, tuliajiriwa Mwaka 2017, tangu wakati huo hatujawahi kupata pesa yetu ya kujikimu (subsistence allowance) tumefuatilia sana na kila hatua tumepita barua...
2 Reactions
7 Replies
217 Views
Mim ni Mtanzania pekee nafanya kazi katika kampuni ya kihindi lakini imetokea nje. Kapuni hii ilishinda tenda ya kutengeneza mfumo katika taasisi ya serikali. Kutokana na changamoto kati ya...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Je, unatafuta namna ya kuomba zabuni za serikali na taasisi mbalimbali kupitia mfumo wa NeST bila makosa? Usipoteze fursa ya kushinda tender kwa sababu ya makosa madogo ya kimfumo au upungufu wa...
0 Reactions
2 Replies
103 Views
The BAMM SOLUTION (T) LIMITED is an authorized agent for provision of cleaning services in private and public institutions, also the company deal with stationary and office supplies and printing...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
1. Osha 2. NIMR 3. Ocean Road 4. NashCop 5. MOI 6. NACP 7. TMDA 8.Muhimbili 9.Benjamini Mkapa hospital 10.MSD 11.Jakaya kikwete Cardiac Institute (JKCI) 12. 13. Kama kuna zingine ongezea NB...
11 Reactions
166 Replies
22K Views
Outsourcing office cleaning or contract cleaning has many benefits for companies and there are numerous reasons why it could help a company actually do better at what it does. Thinking you or...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Anonymous
TECU imekuwa kama sehemu wa vigogo wa TANROADS kujinufaisha ndo maana miradi yote mipya wanafanya figisu ili isimamiwe na TECU ambayo inaleta conflict maana Client ndo huyo huyo Consultant...
0 Reactions
2 Replies
176 Views
Anonymous (0f4d)
Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Februari 2026. Tulifika Ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine…...
0 Reactions
7 Replies
274 Views
Au nilinawahusu tu vijana wa wakulima
5 Reactions
43 Replies
764 Views
Anonymous
Tunaamini kupitia jukwaa hili tutapata haki zetu. Asilimia kubwa ya Watumishi wa Hospitali ya Sekou Toure ya jijini Mwanza tumekuwa tukidhulumiwa malipo ya Extra Duties ya mwezi wa 5&6 kila mwaka...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
VETA Habari za wakati huu. Mimi ni mmoja wa watumishi wapya walioajiriwa na Veta tarehe 19/02. Baada ya kufika makao makuu Dodoma na kukamilisha zoezi la kusaini mikataba ya ajira, tuliombwa...
0 Reactions
3 Replies
234 Views
Anonymous
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Anonymous (c723)
Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Anonymous
Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya...
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Feb, 2026, tulifika ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine…...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Back
Top Bottom