Sisi watumishi wa ajira mpya mwaka 2025 katika kada ya ualimu, Wilaya ya Iramba, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini.
Kwanza, tunaingizwa katika...
Habari za Masiku ndg zangu,
Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job...
Vijana wa kufanya Installation tumezulumiwa malipo yetu, huu unaenda mwaka sasa, na Airtel team imeingilia bila mafanikio zaidi ya ahadi feki.
Out Door Unity (ODU) ndio vifaa vya Airtel...
Habari Wapendwa.
Natafuta House Manager for Mbweni Karibu House.
Kama unamfahamu mtu mwenye uzoefu kwenye sector ya hospitality, awasiliane na karibuhouse.mbweni2026@outlook.com.
Fao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu...
Habari wapendwa,
Natafuta House Manager for Karibu House Mbweni.
Kama unamjua mtu mwenye uzoefu kwenye sector ya hospitality, awasiliane na karibu house mbweni2026@outlook.com.
Anajitajika technician wa printers,
Qulification. Awe amesoma IT, au computer engineering au computer sciences. Elimu ya diploma au Degree. Kindly inbox me
Kijana anatafuta kazi ya jikoni yupo na uzoefu wa kutosha.
Umri 23
Eneo aliliopo Kibaha
Mawasiliano : 0664540696
N.b , anaweza pia kufanya kazi tofauti na ya jikoni , waweza kuwasiliana nae kwa...
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea...
Jukwaa hili limejaa kero na malalamiko ya waajiriwa. Mara huyu hajalipwa fedha za kujikumu halmshauri ya itigi ,mara huyu halmashauri ya mpimbwe mkurugenzi anakula mke wake, nyie waajiriwa ebu...
Poleni na kazi za kuelimisha jamii na hongera pia kwa kuwasemea watu.
Mimi nilihitimu degree ya Saikolojia katika elimu mwaka 2023 ( Bachelor of Education in Psychology) chuo kikuu cha Dar es...
Naomba msaada kwa ajili ya dada yangu, ambaye ni mtumishi wa umma kwa sasa. Anapitia hali ngumu sana kiafya na kiutumishi, na hadi leo hajapatiwa msaada unaostahili.
Alipata ajali mwaka 2024...
YAH: OMBI LA UFANUZI KUHUSU IDADI YA WAHITIMU WA MAFUNZO YA POLISI TAREHE 22 MEI
Mheshimiwa Inspekta Jenerali wa Polisi,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha ombi hili la ufafanuzi...
Habari za asubuhi JF members.
Nisiwachoche, niende moja kwa moja kwenye hoja.
November mwaka jana (2025), niliomba kazi Ajira Portal kwa mara yangu ya kwanza. Kazi niliyoomba ni REGISTRATION...
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below:
1.0 INVESTIGATION...
Habari wakuu,
Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja.
NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO:
1. Kusimamia wateja 200+
2. Kufikia...
Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025...
Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi...
Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.