Unaweza kuendesha Pikipiki? Una Valid driving licence? Kama Ndio Please DMWadau naombeni connection ya kazi, kazi yoyte nitaifanya kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar.
Simu: 0757148294
Unaweza kuendesha Pikipiki? Una Valid driving licence? Kama Ndio Please DM
Haupo serious kaka,,Kuna kazi ya kuwa mwanamke unaiweza?
kama Hauna Licence Ngozi Nyeupe hawatanielewa kaka...Naweza kuendelea pikipiki,, na magari pia ila bahati mbaya bado sjapata leseni
Naipata mwezi ujao kaka wanivumiliekama Hauna Licence Ngozi Nyeupe hawatanielewa kaka...
Bro, just grow up manKuna kazi ya kuwa mwanamke unaiweza?
Hiyo kazi kwa vile wewe umeiweza haimaanishi kua kila Mwanaume ataiweza kama wewe.Kuna kazi ya kuwa mwanamke unaiweza?