Serikali ilitangaza ajira nikatuma maombi Ajira Portal, nikaitwa kwenye interview ya kuandika nikafaulu nikaitwa usahili wa mdomo.
Kulingana na mfumo wa Ajira Portal walikuwa wameandika usahili...
WALIMU 17 WATISHIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA KWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA WALIMU WILAYANI MAKETE, MKOANI NJOMBE
Makete – Wakati haki ya kujiunga na kujiondoa kwenye vyama vya wafanyakazi ikiwa...
WATUMISHI WA AJIRA MPYA AFYA RUANGWA HAWAJAPEWA STAHIKI ZAO, NI VITISHO TU – KUNA NINI?
Kuna taarifa zinazoibua wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya watumishi wapya wa sekta ya afya katika Halmashauri...
Kutokea Kibondo, naomba ufafanuzi kwenye shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Je! Ni kwanini sisi Watumishi wa Serikali tunaoishi nyumba za Serikali, vijijini tumeunganishiwa kwenye system ya...
Kero yangu naipeleka kwenye Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training tangu mwezi wa 10 Mwaka 2025 na nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training...
Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu.
Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua...
kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma ambazo zinathibitika za mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya serengeti nashangaa mamlaka zake mkoa ,Tamisemi na wizara zikikaa kimya pasipo kutusaidia...
TANGAZO LA KAZI: PHARMACIST / PHARMACEUTICAL DISPENSER
Tunatafuta mtu mwenye ujuzi, uadilifu, na uzoefu katika fani ya pharmacy ili kusimamia na kuendesha pharmacy yetu kwa weledi wa hali ya juu...
We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications. You will act as liaison...
TANGAZO
Wanahitajika 5 Security Guards:
Wanaume 3
Wanawake 2
Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar
Sifa:
Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea
Aliyepitia JKT...
Kuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana.
Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private.
Je wakuu,hao...
Kuhusiana na changamoto yao kwenye mfumo wa Ajira Portal.
Hii course Tanzania inatolewa CHUO CHA USHIRIKA KIKO MOSHI tu. Kwenye mfumo wa Ajira Portal haijapewa kipaumbele kwenye course za...
Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu...
Jana kuna mwamba aliweka tangazo humu kwamba serikali imetoa nafasi zaidi ya elfu 1 za wapishi kwenda Uarabuni. Nikajua tu ni utapeli. Serikali haiwezi fanya ivo. Pia email ya kutuma CV ilikua na...
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU kwa watu wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita form six mfumo unataka cheti cha form six, naomba utufikishie hili maana sio wote walisoma form six wengine...
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote...
Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya!
Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya...
Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.