Habari za Jumapili.?
Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia...
naitaji watu 10 ambaye yupo tayari kufanya kazi KIBAHA na DSM kwa nafasi ya mtafsiri wa kichina na 10 mpishi wa kichina anaeweza kupika vyakula vya kichina (certified) -uzoefu wa miaka 2 au zaid...
Learn with us, You can't get those skills from master degree or PHD. No one wait for you. Geospatial Tanzania tunaamini Ujuzi ni chanzo cha kujiamini. Kama una ndoto ya kufanyakazi katika...
Kuna kampuni inaitwa Epvate & Fortune International Consulting Ltd wajiriwa wake katika mgodi wa Barrick Bullyaghulu kupitia Kampuni ya Contractor BLY hawachangii michango ya Wafanyakazi ya NSSF...
Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo.
Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/=
Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita...
Job Advertisement
A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas:
1. Chemistry and Biology
2. ICS/Physics/Mathematics
3...
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu...
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe...
Habari za muda naomba utusaidie kupasa sauti kwa kweli Halmashauri yetu ya Chato hawajatutendea haki sisi walimu wa sekondari tulioajiriwa Mwaka 2025.
Walitupa fedha za kujikimu shilingi laki...
Habari wakuu, kuna mdogo wangu mmoja ametoka kuitwa kwenye oral interview ya nafasi fulani kupitia ajira portal, ananimbia amesikia "ukiitwa ajira portal kwenye oral interview" lile swali la tell...
Wazee kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi Nina familia hapa nawaza mpaka bas naomba atakama sio kazi ambayo nimesomea naomba kazi yoyote halali ambayo itanitoa kwenye mapito haya...
Sisi tuliokuwa wafanyakazi wa muda mrefu katika Hospitali ya JKCI-Dar Group (zamani ikijulikana kama Dar Group) tumejikuta katika hali ya sintofahamu kufuatia uamuzi wa mwajiri wetu kusitisha...
Mhali Gani wakuu husika na kichwa cha habari pale juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta mtu au watu naoweza kuingia nao mkataba wa kumtunzia Nyumba akiwa kasafiri yupo mkoani au nje za nchi usihofu...
Kumekuwepo na changamoto kubwa katika Sekta ya Maabara nchini, jambo hili tulipaza sauti mwaka 2024 lakini bado slinahitaji hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika:
Kumekuwepo na changamoto...
Kwenye utaratibu wa usahili wa mchujo wa ajira kutoka sekretarieti ya ajira kuna shida mahali.
Watu tumeenda kufanya usahili wa mwalimu daraja la III C Historia. Halafu unakutana na maswali 50...
Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila...
Hapa kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC), Mkurugenzi Mtendaji wetu, Erica Yegella ana changamoto kadhaa kuhusu matumizi ya ofisi yake:
1. Hakufanya kikao na Baraza la Wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.