Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau naombeni connection ya kazi, kazi yoyte nitaifanya kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar. Simu: 0757148294
4 Reactions
12 Replies
288 Views
Anonymous (734e)
Wallimu wa Shule ya Sekondari na Chuo cha Ualimu Al Haramain tunapitia wakati mgumu kwasababu tunapata mishahara mi nne tu kwa mwaka yani January, April, July, na September. Hali kadhalika hatuna...
2 Reactions
10 Replies
238 Views
Habari wakuu. Naomba mwenye taarifa, madogo walifanya usaili karibuni mwezi April. Naomba kujua kama walishaitwa kwa mwenye taarifa.
0 Reactions
3 Replies
169 Views
Ndugu zangu nisaidieni,nataka kijana wangu akimaliza form six nimshauri asome kozi ya Architectural Design Ardhi University,vipi kozi hii kwa sasa ina soko kweli?
0 Reactions
3 Replies
172 Views
📢 PAID INTERNSHIP — 5 POSITIONS Makomu Impo & Expo – Dar es Salaam We’re hiring Accountant Interns with Marketing Skills. Requirements: • Accounting / Marketing student or graduate • Strong...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
1 Reactions
2 Replies
252 Views
RESEARCH ASSISTANT VACANCY ANNOUNCEMENT.
4 Reactions
3 Replies
262 Views
Anahitajika muhasibu kufanya kazi kwenye kampuni ya clearing and fowarding pamoja na usafirishaji. Mwenye sifa atume CV na vyeti kwenye email hii; info@endabashfreighters.com
1 Reactions
3 Replies
155 Views
Anonymous (fb32)
YAH: CHANGAMOTO TUNAZOPITIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (CHW) Sisi Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii tuliopo Mkoani Kagera lakini ujumbe wetu unawakilisha watu wote wa fani yetu nchi nzima...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Wakuu naombeni connection ya kazi,nipo flexible kupiga kazi yoyte kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar
2 Reactions
8 Replies
230 Views
Anonymous
Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Anonymous (55b5)
Hatujalipwa pesa ya Kujikimu. Kila tukifuatilia, tunaambiwa pesa hazijatoka Hazina. Wilaya yetu hii walimu tulioripoti nao kazini wamepewa pesaa za kujikimu karibu wote. Jambo jingine, hapa...
2 Reactions
2 Replies
120 Views
Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kidigitali katika mchakato wa ajira kwa kutumia TEHAMA, ili kuondoa usumbufu wa waombaji kubeba vyeti na vitambulisho kila sehemu. Kauli hii ya Mhe...
6 Reactions
12 Replies
267 Views
Habari, jaman natafuta kaz hata ya uwakala, au dukani, nimechoka mimi.. naishi Sinza, Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Huyu mwajiri wangu,tuna mkataba wa mwaka mmoja. Mshahara anatoa tarehe 50 Mshahara wenyewe mpaka mpigane ngumi ndio anatoa. Ana matusi balaa. Nataka nimtoroke..kuna madhara yoyote?
7 Reactions
13 Replies
409 Views
Anonymous (54df)
Kuna watumishi tumemaliza mwaka hatujalipwa fedha za kujikimu. Kuna baadhi wamekuja na hawana mda mrefu wameshalipwa kwani wanalipana kwa kujuana. Kuna wanaotakiwa kulipwa Tsh 150,000/= na Tsh...
3 Reactions
8 Replies
470 Views
URGENT CAREER OPPORTUNITIES – Manufacturing & Hospitality We are hiring for the following positions: Finance Manager (Dodoma – 1 position) Bachelor’s in Finance, 3–5 years’ experience in...
5 Reactions
18 Replies
336 Views
URGENT CAREER OPPORTUNITIES – Manufacturing & Hospitality We are hiring for the following positions: Finance Manager (Dodoma – 1 position) Bachelor’s in Finance, 3–5 years’ experience in...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Anonymous (b5ce)
Hellow habari za Majukumu... Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
VIDEOGRAPHER ANAHITAJIKA Tunatafuta Videographer mwenye ubunifu na uelewa wa graphics/editing kwa ajili ya kutengeneza video zenye ubora wa juu(Social Media Contents). Sifa: Ujuzi wa kupiga...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Back
Top Bottom