Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Nikiwa mmoja wa waajiriwa wapya kupitia Ajira Mpya, na napenda kueleza changamoto kubwa tunayoipitia kuhusu fedha za kujikimu. Kwenye baadhi ya halmashauri, inaelezwa kuwa fedha hizi zinafika...
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Wakuu maisha ni safari ndefu na kuna mapito ila usiombe yakukute. Hapa nilipo nimefanya kila kitu kwa kutumia akili yangu na ujanja kama mwanadamu lakini mpaka leo sina ajira. Nilipopoteza kazi...
41 Reactions
178 Replies
12K Views
Je, mfumo unaounganisha watu wenye ujuzi, kazi za muda na wanaohitaji huduma unaweza kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira Tanzania? Mfano: Mtu akiwa free anaweza kupata kazi ya muda. Mtaalamu...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Wanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu. Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko...
9 Reactions
31 Replies
544 Views
Karibuni wanajamii, Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na: • Usafi (Cleaning Services) •...
1 Reactions
0 Replies
168 Views
Tangazo. Natafuta Msaidizi wa nyumba. Vigezo ni Vigumu Kuliko Kupata Mkopo wa IMF Habari za mchana wana-Jamii Bila kupoteza muda, maisha yameenda kasi na majukumu yameongezeka. Natafuta binti...
9 Reactions
104 Replies
1K Views
Kwa namna mchakato unavyoendeshwa unaonekana ni mzuri sana na wanaosaka ajira baadhi Yao wanakiri kabisa kuwa mchakato unatenda haki. Kinachohitajika katika mchakato wa kutafuta waajiriwa ni...
10 Reactions
53 Replies
610 Views
Awe na elimu ya diploma Awe na uzoefu wa ajira wa miezi 24 katika fani uhasibu Awe na makazi ya kudumu Dar es salaam
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Salamu kwenu wadau, poleni na majukumu na mapambano ya kusaka ajira. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kufaulu usaili wa ajira za utumishi wa umma. Changamoto huwa ni pale unapofika kwenye chumba...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Anonymous
Naandika ujumbe huu kwa niaba ya wafanyakazi wenzangu wa Joshmal Hotel, Arusha, ili kuwasilisha changamoto kubwa tunayokabiliana nayo mahali pa kazi. Sisi wafanyakazi tumekuwa tukifanya kazi kwa...
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
0 Reactions
7 Replies
153 Views
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2026! Hii ni thread yangu ya kwanza mwaka huu na hivyo nimeona nianze kwa kuangalizia sekta ya ajira na ukuaji wa teknolojia na kinachoendelea kutokea kuelekea mwaka...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
Anonymous
Tunaomba kufikishwa kwa mamlaka husika malalamiko yetu kutoka kwa walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kuhusu changamoto inayojitokeza katika suala la uchaguzi wa vyama vya wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Mimi ni mhitimu wa Automobile Engineering / Automotive Engineering. Napenda kuwasilisha kero ifuatayo: Kwenye mfumo wetu wa ajira Portal, kozi zetu mbili zinawekwa kama fani tofauti kabisa...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Anonymous
Kwa muda mrefu sasa hatupati posho ya madaraka, tofauti kabisa na wenzetu wa sekta ya elimu hasa wakuu wa shule za msingi ambao wao wanalipwa posho hiyo, hadi kufikia laki mbili kwa mwezi. Sisi...
1 Reactions
9 Replies
274 Views
UTUMISHI na TAMISEMI fuatilieni kwa makini sana utekelezaji wa maelekezo yenu kwa wakurugenzi na maafisa rasilimali watu kwenye halimashauri ya wilaya Ukerewe, kwakuwa mkurugenzi bado anaendelea...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Anonymous
Watumishi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala (Newala DC) ambao wanastahili kupandishwa madaraja bado hawajapandishwa licha ya kutimiza vigezo vinavyotakiwa kwa mujibu wa taratibu za...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo: 1. Malipo ya fedha za likizo...
2 Reactions
6 Replies
161 Views
Habari ndugu wa Tanzania, Natafuta kazi za MEL kwenye hizi ng'os hata local nikipata sawa ntashukuru. Nimejaribu kuomba tokea mwezi January lakini naona kimya😫. Nimesomea takwimu. Ni mwanamke
2 Reactions
5 Replies
150 Views
Kuna rafiki yangu anauliza je inawezekana kutafuta kazi kwa cheti cha form naombeni majibu yenu ili nimpe ayaone.
5 Reactions
18 Replies
265 Views
Back
Top Bottom