Habari za Uzima Ndugu Zangu. Mimi ni kijana wa Kiume Umri Miaka 27 Natafuta kazi ya Store keeper Au Patron "Kusimamia Wanafunzi" Nina Uzoefu wa kufanya hizi kazi., ila hata ikipatikana Kazi...
Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo.
Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia...
Tunafanya kazi kampuni ya Kichina ipo Ilemela hapa Mwanza, tunajenga Soko Kirumba, kero yetu ni kuwa michango ya Hifadhi ya NSSF ni shida hatujawekewa tangu Septemba 2025.
Kazi ilianza tangu Mei...
Wajomba maisha yamekuwa heavy sana naomba niende straight,wekeni link hapa za remote jobs ambazo zko legit kwa watanzania.Gusa hapa nenda ukajitafutie cha kufanya
Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza...
Mimi kwa taaluma yangu ni mwalimu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta ajira serikalini kupitia Ajira Portal. Nimekuwa nikifanya usaili mara kwa mara, napita hatua ya maandishi hadi...
Sisi ni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, tukiwa miongoni mwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026 (kuanzia mwezi Januari) katika kada mbalimbali zikiwemo ualimu, afya, ustawi wa jamii, kilimo...
Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025.
Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na...
Majibu ya MAOMBI YA KUJIUNGA JWTZ yametoka au bado?
Niliomba kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Sasa mwezi umepita, lakini sijapata majibu wala simu.
Je, kuna yeyote amepata...
Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu.
Hata ajira za mwaka jana (2025), February...
MAJIBU YA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA TEMESA KUTOKA JAMIIFORUMS LALAMIKO
Hoja ya Mdau iliyowasilishwa awali ~ Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu...
MAMLAKA YA MKOA WA SIMIYU – IDARA YA ELIMU: HESHIMUNI NA LIPENI STAHIKI ZA WALIMU WANAOSAHIHISHA MITIHANI YA MOCK
Baada ya baadhi ya walimu kukamilisha zoezi la usahihishaji katika masomo yetu...
Halmashauri ya Wilaya Tandahimba Ajira Mpya wengi wetu hatujapewa fedha zetu za kujikimu tangu tu report kazini Mwezi January 2026. Tunapouliza jibu huwa ni moja kuwa “Tunalishughulikia” bila...
Mimi ni mdau wa elimu kutoka Jiji la Arusha.
Kwa sasa dirisha la maombi ya kujiunga na vyuo vya kati kwa kozi za afya lipo wazi. Hata hivyo, jambo linalozua maswali mengi ni hatua ya NACTVET...
Nina Elimu Ya degree ya bima na usimamizi wa majanga (Bsc in Insurance and Risk Management) Kutoka Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM),Main Campus.
Mbali Na Elimu yangu nina uzoefu wa miaka zaidi...
Habarini wakuu,
Natafuta kijana au mtu yeyote aliyesomea Insurance (level yoyote), ambaye kwa sasa hana kazi lakini ana motivation, nidhamu, na utayari wa kufanya kazi kwa juhudi.
Nina mpango wa...
Mimi ni Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, kuna Mtumishi ajira mpya Afya ali-report kituoni toka mwezi wa 7 mwaka Jana 2025 hadi leo yeye na wenzake wanalalamika kutolipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.