Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nakumbuka baada ya kumaliza chuo mwaka 2017 na kurudi mtaani harakati za kutafuta kazi zilianza... Nilipata kazi ya kuagiza magari kutoka Japan kwa mda wa miezi kama sita kwa bahati mbaya kampuni...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Jamii forum,naitwa Justine exavery. Elimu yangu ni kidato cha sita. Nina uzoefu katika biashara ya uuzaji nguo na mambo ya mauzo pia naweza. Nina uhitaji wa kazi ndugu,kama Kuna mtu anajua...
1 Reactions
2 Replies
588 Views
NAFASI YA KAZI KWA DIGITAL MARKETING AND CUSTOMER CARE OFFICER TAREO (MIT & KIDT) inatangaza nafasi ya kazi mhudumu na masoko kwa njia ya teknolojia ( digital marketing officer ) SIFA. √ Elimu...
1 Reactions
1 Replies
888 Views
Barrick Bulyanhulu Gold Mine is situated in northwest Tanzania, in the Kahama district of the Shinyanga region, approximately 55 kilometers south of Lake Victoria and 150 kilometers southwest of...
2 Reactions
0 Replies
884 Views
Samahani wakuu kuna Scholarship nimepata sehemu ila siyo full funded ni 85% funded...scholarship ni ya kusoma india ngazi ya masters. Sasa nahitaji kujua ikiwa siyo full funded it means kwamba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Duh ajira zingine za moto imagine na degree yangu hii nikafagie na kufundisha nursery kwa mapatano ya mshahara wa laki na nusu duh aisee
12 Reactions
153 Replies
7K Views
Habari zenu, mimi ni mwandishi wa vitabu, natafuta mtafsiri wa vitabu vyangu kutoka Kiswahili kwenda lugha ya Kiingereza, malipo kwa makubaliano maalum. Nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Gold City Company LTD iliyoko Geita Mjini inapenda kuwatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa kuomba kazi katika kada zifuatazo; 1. Daktari daraja la ii ( MD) nafasi 3 Sifa kuu...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Habari wakuu, Naomba mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje? Msaada please.
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Habari, anahitajika kijana mwenye certificate au diploma ya Clearing and forwarding. Kwa mwenye uhitaji atume VYETI kweny email hii hamishusna07@gmail.com NAFASI NI MOJA, OFISI ZIPO POSTA DSM...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ya Jumapili, kwa mara nyingine tena nimekuja nahitaji vijana kwa batch ya pili,batch ya kwanza tayari wapo kazini.tunafanya website promotion on social media utalipwa kutokana na kaz...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari Wana jf..Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili kutokan na ratiba ya masomo yang kuisha mapema (saa nane mchana) mdogo wenu naomb Kaz yoyote Ile kuanzia mda huo mpka saa tatu au nne usiku...
1 Reactions
3 Replies
916 Views
TANGAZO LA AJIRA PAX BROTHERENS CAMPANY LTD iliyopo mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi inawatangaza nafasi ya kazi kwa watanzania wote wenye sifa Cheo – msimamizi MKUU na mtawala. SIFA muombaji...
2 Reactions
3 Replies
848 Views
Habari wanjf, kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii. Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua...
2 Reactions
9 Replies
742 Views
Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala...
5 Reactions
64 Replies
8K Views
Bado nahtaji mfanyakazi wa kike wa kazi za ndani,,wa kufua kupika,,usafi wa ndan,na kuangalia watoto bas,watoto ni wakubwa wanasoma umri wao 4yrs &6yrs.mfanyakaz acje na mwanae au asiwe na mtoto...
1 Reactions
3 Replies
563 Views
Back
Top Bottom