Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habarini wadau na wapenzi wa JF na Mungu aendelee kutujaalia uzima na neema. Mimi ni me wa kitanzania naishi Songea. Malengo yangu makubwa ni kulitumikia Taifa kupitia driving a car. Bado...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani hili suala lifikishwe Mahali Husika, Interview Imefanyika two days ago Utumishi wana Tabia ya Kutoa Majina ya watu waiofanikiwa kuitwa Oral Interview Usiku....ambapo mtu wa mikoa ya Mbali...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu habari.... . Kuuliza sio ujinga... Nataka ku apply hizi nafasi za ajira katika jeshi la zima moto. Ila sijaelewa, kwenye kipengele, cha jinsi ya kutuma haya maombi, ili yaweze kufika sehem...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari , Tupeane possible practical question ya Mechanical Technician inayotarajiwa kufanyika tarehe 30
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Habari ndugu zangu...naombeni connection ya gari ya udereva mkoa wowote...na vyeti( certificate of secondary, veta advance driving) road license class C.. umri miaka 28.
4 Reactions
2 Replies
1K Views
2 Interns are needed for the period of 2 months shall be dealing with sales of training consultancy services with daily fixed allowance and commission on sales. Kindly reach us on 0712066064 or...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kama ilivyokawaida Jeshi la zimamoto na uokoaji limetangaza nafasi za ajira kupitia website yao. Baada ya kupitia baadhi ya sifa na vigezo vitakavyokubeba kupata nafasi nilipata...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu habarini? Poleni na majukumu. Kama una mwanao au ndugu anahitaji kusoma likizo hii masomo tajwa hapo juu anaweza kunitafuta nimfundishe. Kwa likizo hii nitakua DSM. Na nafanya home tuition...
2 Reactions
2 Replies
651 Views
Affluence Training Ltd (ATL) was established on 27th January 2016 based in Dar Es Salaam on 2nd floor Jannat Plaza- Mwananyamala Komakoma dealing with provision of training and consultancy...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
CALL FOR APPLICATION (25 POST) JOB TITLE: WATETEZI TV REGIONAL REPORTERS ORGANIZATION: TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC) DUTY STATION: TANZANIA MAINLAND AND ZANZIBAR REGIONS...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS, utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habar wakuu, Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu. Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Namleta kwenu msichana umri wake miaka 24 elimu yake kidato cha nne ana experience ya kazi kama hotelia. Yupo tayari kufanya kazi yoyote ya halali isipokua barmaid namfaham ni...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, narudi hapa nikiwa na ombi la kazi. Mimi ni kijana na Baba and matured enough,naomba kazi yoyote halali nisiue familia na njaa wazee! Being jobless is a stressful moment,na kila nikitazama...
2 Reactions
4 Replies
529 Views
Nimefanikiwa kuitwa kwenye nafasi ya Laboratory Scientist, Physical Chemistry, Open University. Nilitaka kufaham kwenye nafasi kama hiyo kunawezakuwa na maswali ya namna gani Nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
943 Views
MANUSCRIPT WRITING SHORT COURSE 12th to 17th January 2023 Dar es Salaam Muhimbili University of Health and Allied Sciences Purpose: The purpose of this four-day short course is to provide...
1 Reactions
0 Replies
506 Views
Habari, Mimi ni Auditor katika ofisi ya CAG, naomba kufahamu utaratibu mzuri wa kuhamia BOT. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom