Msaada: Mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

wizy

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
4,179
10,393
Habari wakuu,

Naomba mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

Msaada please.
 
Does not exist in the medical field. Kama haujui hata jina la kazi uliomba na kuitwa kwenye interview, utapataje hiyo kazi. Uliisomea kweli ama umechukuwa cheti cha mtu? Medical kozi fupi sana ni miaka 3. Yaani wewe ulisoma miaka 3 halafu haujui hata kazi hiyo!! Dunia ina maajabu! Ama ni chai bila vitafunio?
medical physist
 
Mkuu kama hujui kitu uliza pia kuliko kuanza majigambo yakujua ulichosomea au kutokujua ,najua hujui kuhusu medical physist umeshawahi kwenda ocean road ukaona dosimetry plan ya cancer inafanywa na mtu gani ?oncologist lazima awe na medical physist kwaajili ya nuclear dosage nadhani utakuwa umenielewa
 
Unaweza kusoma mathalani hesabu miaka 3 halafu usikumbuke jina la somo lenyewe? Sasa hiyo kazi utaifanya vipi kama jina la somo tu haukumbuki?
ungemsaidia tu mkuu kama unajua

kuliko kulumbana kisa kukosea spelling

tu lugha zetu ni ulakoze chane
 
Usibishe. Mie nawafundisha wenzio hapa Ocean Road. Huyo ni medical physicist. Angalia tofauti hapo. Hiyo kazi haikufai. Waachie wengine.
Sasa mkuu siungesema shida ni spelling mbona jambo dogo unalikuza sana?ukiona umefanikiwa sana usidhalau wasionacho mkuu
 
Unamfahamu madam Neema yupo ocean road hapo??alikuaga tutorial assistant udom pale
Usibishe. Mie nawafundisha wenzio hapa Ocean Road. Huyo ni medical physicist. Angalia tofauti hapo. Hiyo kazi haikufai. Waachie wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom