Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,177
Fanya maamuzi Kama mwanaume.Mkuu ninakoenda si kuzuri kila ninaemuambia ananikatisha tamaa, kikubwa hakuna amani,
wanajeshi wa JWTZ muda wote na RPG na kihistoria mji huo miaka kadhaa nyuma ilishambuliwa na watu wenye itikadi kali za kidini, wamewapa jina la alshababi...waliua,kuharibu mali na kuteka watu hadi leo hawajulikani walipo.
Shukrani kwa mawazo yako,Fanya maamuzi Kama mwanaume.
Jibu Ni ndiyo/ hapana
Habari JF....
Mimi ni mwalimu x katika shule x hapa nchini Tanzania,
Huu ni uhamisho wangu wa kwanza ila mawazo yangu yananiambia kama hakuna pesa ya uhamisho nisikubali hata iweje...
Je una lipi la kunishauri?
Karibuni....View attachment 2418094
1. Kwanini niondoe barua wakati taarifa muhimu nimezificha?1. Ondoa hiyo barua mkuu.
2. Karipoti kituo chako kipya kisha rudi kusubiri malipo ya uhamisho
Niliandika kitu nikafuta,Wewe hujipendi au utoto umekuzidi. Unatundika barua ya uhamisho ya kikazi mtandaoni. Inawezekana umaehamishwa peke yako. Watashindwa kukutambua. Iondoe kwa usalama wako kazini.
Naona umehamishiwa kibitiMkuu ninakoenda si kuzuri kila ninaemuambia ananikatisha tamaa, kikubwa hakuna amani,
wanajeshi wa JWTZ muda wote na RPG na kihistoria mji huo miaka kadhaa nyuma ilishambuliwa na watu wenye itikadi kali za kidini, wamewapa jina la alshababi...waliua,kuharibu mali na kuteka watu hadi leo hawajulikani walipo.
Barua haiko wazi mkuu, karibu kama una ushauri mwingine.Kwan ungeandika tu maelezo bila kuiweka,hyo barua mtandaoni ungepungukiwa nn kila cku mnaambiwa taarifa za serikali ni siri hamsikii mpaka cku mmoja afukuzwe kazi mje kulia lia humu
Mimi sijasema ni wapi hahahahNaona umehamishiwa kibiti
Jina la Mkurugenzi hiloo wanaomjua watamuambia barua yake iko huku halafu anahamisha bila kulipa.1. Kwanini niondoe barua wakati taarifa muhimu nimezificha?
2. Ndicho kilichopo kichwani mwangu
Ndiyo uko kwa maelezo yakoMimi sijasema ni wapi hahahah
🤣🤣🤣 eti kaficha wakati box iko wazi aiseeeUmeficha nini wakati ukigoogle unakutana na hii kitu...
HALMASHAURI YA MJI
P.O.BOX 1490,,
NANYAMBA, MTWARA
Naona unahofia kwenda KItama au Kitaya, wewe nenda tu ila hakikisha unapewa hela yote ya uhamisho. Karipoti kituo kipya kisha rudi ukatulie hapohapo huku ukisubiri hela ya uhamishoHabari JF....