Scholarship

Scholarship

Lupe Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
259
Reaction score
911
Samahani wakuu kuna Scholarship nimepata sehemu ila siyo full funded ni 85% funded...scholarship ni ya kusoma india ngazi ya masters. Sasa nahitaji kujua ikiwa siyo full funded it means kwamba kuna gharama napaswa kuzilipia na vipi kuhusu sisi walala hoi familia za milo miwili mchana na jioni naweza kusoma hii au Sponsorship yao iko kama HSLB kwamba wanakupa ya hela ya kutumia ambayo hiyo hiyo unaweza kujibana ukawa unalipa pesa inayotakiwa kuongezewa au hapa pakoje kwa mwenye uelewa jaman
 
Wewe pekee ndo unaweza kuwa na majibu ya hayo maswali.
Je, hiyo scholarship ina cover vipengele vipi? (Kuna tuition fees, transport/flight cost, accommodation cost, living stipend/allowance, books and stationaries). Hiyo 85% ni ya cost zipi kati ya hizo? Au ni 85% ya hizo costs zote? Nyingi ya partial scholarships huwa zina cover sehemu tu ya tuition fees, mfano in your case, 85% ya tuition fees. But you have to cross-check documents walizokutumia za hiyo scholarship yako lazima itakua ime define je ni 85% ya costs zipi na zipi.
 
India kugumu hakuna part times job kule Kwa wageni.
Any way kama hicho chuo ni accredited hiyo % 15 kama ni stipend unaweza kuishi maisha ya kujibana kama ni ya mambo mengine ambapo utahitaji kulipia na wewe huna pesa usiforce achana na hiyo scholarship
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu wanaotoa scholarships za masters kwa upande wa accounting or finance related degrees?
 
Back
Top Bottom