Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Ninaomba kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hasa upande wa TEHAMA (ICT), wawe wanapokea na kushughulikia kwa wakati barua pepe (email) tunazotuma. Inasikitisha kwamba unatuma...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
WanaJF habari za majukumu wadau naomba Kwa yoyote atakayeguswa anisaidie mchongo wa nafasi ya kazi yoyote Hali. Nipo Kahama Shinyanga 0664984110
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Habari zenu wanajamvi? Kama ilivyo ada, humu JamiiForums najua ni kisima cha maarifa. Wadau naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu. Mara ya mwisho nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu mdogo wangu...
8 Reactions
88 Replies
1K Views
Nimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini. Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma...
7 Reactions
30 Replies
844 Views
Anonymous
NAOMBA UFICHUE UOVU DHIDI YA BI. NISILE MWAKALINGA - AFISA RASILIMALI WATU, TANESCO MKOA WA MANYARA Mimi ni mtoa taarifa mwenye nia njema, naomba uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Afisa...
0 Reactions
3 Replies
208 Views
Habari Wadau, Nakutana na changamoto ya usajili wa TIN number kwenye recruitment portal ya TRA, ambapo kila nikijaribu kuingiza number husika za TIN na kuzi-save, mfumo unaleta msg kwamba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
TANGAZO LA HUDUMA ZA USHAURI WA BIASHARA Amicable Group Holdings Limited inatoa huduma za kitaalamu za Ushauri wa Biashara (Business Consultancy) kwa watu binafsi, vikundi, kampuni, taasisi na...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Anonymous
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela...
0 Reactions
2 Replies
137 Views
Anonymous
Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi...
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Job Title: Graphic Designer (1 post) Organization: JamiiAfrica Reporting to: Visualization and JamiiData Lead Location: Dar es Salaam, Tanzania Application Deadline: May 25, 2026 Employment...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Anonymous
Wafanyakazi wa Kiwanda cha kuzalisha dawa za binadamu cha Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) wameipigia yowe Serikali wakilalamikia bodi na menejimenti, hususan mbia binafsi (kampuni ya...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
Anonymous
Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Anonymous
Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu...
1 Reactions
1 Replies
145 Views
Anonymous (0fd1)
Mimi ni mfanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi inayoitwa (G4S COMPANY LTD) inapatikana Dar es Salaam, mkabala na ubalozi wa Ufaransa kuna changamoto kadhaa: 1. Hatupewi likizo ya siku 28 kwa mwaka...
5 Reactions
17 Replies
385 Views
Watumishi wa kada ya uhandisi walioajiriwa tarehe 1 Desemba 2020 katika shule za sekondari za ufundi za serikali wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa katika utumishi wa umma kutokana na...
1 Reactions
0 Replies
148 Views
Anonymous
Sisi Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya tangu tumeajiriwa Mwaka 2022 hatukuwahi kulipwa fedha ya kwenda likizo.
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Back
Top Bottom