Mamlaka husika zinazingatia sheria gani katika kupandisha madaraja ya watumishi specifically (waalimu)? kwani kuna walioajiriwa July 2022 na kuthibitishwa July 2023.
Baadhi ya wilaya...
Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha...
Ni kuhusiana na agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara kuwa shilingi 308,000. Pamoja na maelekezo hayo kutolewa na kurudiwa mara kadhaa, kuna baadhi ya makampuni bado hayatekelezi...
Sisi Watumishi wa Afya kutoka Wilaya ya Geita DC tulioajiriwa kuanzia mwezi January 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu na uongozi wa hautupi ushirikiano wowote.
Soma Pia: Simiyu Itilima DC...
Habari, tunaomba msaada wa kutupazia sauti juu ya changamoto kubwa tunazokumbana nazo sisi watumishi katika Wilaya ya Hai.
Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai...
"Mimi ni mtumishi hapa Kituo cha Afya Sabasaba Health Center, Morogoro. Ningependa kueleza kero kubwa inayotuumiza na inayohitaji uchunguzi wa dharura kutoka mamlaka za juu.
Ndani ya kituo chetu...
OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi?
Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie...
Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni...
Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna...
Habari za wakati huu!
Mimi ni mtumishi wa umma , ambaye nimekuja kuwakilsha watumishi wa chini ya Tamisemi ambao ni Afya na Elimu ambao kwa sasa wapo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya...
Huku Kasulu Mji, Ajira Mpya ya 2021 mpaka sasa hatujalipwa hela ya kujikimu yote, tulilipwa kiduchu ukienda kudai wanakwambia subiri hela ikingia utapata kweli tangu Mwaka 2021 mpaka leo 2026...
Mimi ni mtumishi wa afya katika Halmashauri ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, nikiwa katika ajira mpya ya mwezi Januari 2026. Hadi sasa hatujapewa Fedha za Kujikimu, na kila tunapojaribu kuuliza...
Mimi ni daktari tarajali (intern doctor) katika Morogoro Regional Hospital, na tunakumbana na changamoto kubwa ya kutolipwa posho zetu kwa wakati. Hadi sasa tumekaa takribani miezi miwili bila...
Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa...
Mimi ni mmoja wa wauguzi watarajali (Intern Nurses) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kuna changamoto kubwa tunazopitia kutoka kwa msimamizi wa mafunzo wa hospitali yetu. Tumejaribu...
Mimi ni mfanyakazi wa kada ya afya katika Halmashauri ya Simanjiro, mkoa wa Manyara. Tangu Januari 2026 hadi sasa tumekuwa tukikumbana na changamoto nyingi, lakini kila tunapojaribu kuzungumza au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.